Mpenzi mwenye ---- moja

Mpenzi mwenye ---- moja

u gotta love JF!!!,ina kila aina ya watu, ina warefu na wafupi, wembamba na wanene, wenye akili na CHADEMA, pamoja na wachekeshaji kama ma jery....kiukweli umenifurahisha sana.........u've made ma day

hahaa hao cdm
 
upo wewe? hembu mpigie simu huyo ma jery atumalizie hii story mimi nimeshindwa hata kutoka hapa kwenye jamvi..!!
Hivi bado tu ma jery hajarudi? mie nilichoka kusubiri.
 
Last edited by a moderator:
......Ukiiweka vizuri hii story yako Shigongo anaweza kukupa hela, pia nilichokisoma kutoka kwako ni kwamba ulizimika na mashauzi ya jamaa kuwa anafanya kazi UNHCR na kwao wana ''chapaa chafu''. Wewe ni mfano halisi wa wanawake wengi wa Kibongo japokuwa sio wote. Hiyo iwe fundisho kwako dada angu next time utakutana na majini na ndio utakuwa mwisho wa tama zako. Mungu bado anakupenda sana na ana malengo mazuri juu ya maisha yako. Badilisha tabia yako ya kujilaisisha kwa wanaume wa mitandaoni.
 
Back
Top Bottom