Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Inakuwaje kama zile za kutegesha😀.Kumbukeni kuna mpiga picha, yawezekana ndo pair yake
Kwanini usifikirie tu kuwa anaepiga picha ndo mpnz wake kuliko kufikiri yote hayo?Inakuwaje kama zile za kutegesha😀.
Au inakuwaje kama hapo Park kuna mpiga Picha maalum ambae Wateja wake ni maeneo hayo😀.
Au inakuwaje kama kulikuwa na mpita njia wakamuomba awapige Picha😀.
Au inakuwaje kama kuna mpita njia, au mdaku ameamua kuwapiga Picha bila ya wao wenyewe wahusika kujua😀
Unaona mwenzio anaumia na yupo kinyonge sana.Kwanini usifikirie tu kuwa anaepiga picha ndo mpnz wake kuliko kufikiri yote hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Drones ....Inakuwaje kama zile za kutegesha😀.