Mpenzi mpya kumbe...............!

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,500
Reaction score
7,431
Je Wajua? Nguo Chakavu Ndo Dekio Jipya? Namaanisha hivi! Mpenzi Wako Mpya ni Mpenzi wa Mwenzako wa zamani, Najua Imekuchoma lkn Ukweli Ndo Huo je? kuna utata!! kuna utata...!!!
 
Daaah umefanya nifikirie sana wale wachuchu niliowaacha jamaa wakachukua huku wakiringa mitaani na mimi nikaokota kisu lakini kumbe ni ki used cha zaman
 
usipolewa unakuaga na akili! yani wangeruhusu pombe kwa wanafunzi ungekua T.O!
 
Ha ha ha haaa! Lakini ni ukweli mtupu ingawa tukiambiwa tuna-mind
 
Daaah umefanya nifikirie sana wale wachuchu niliowaacha jamaa wakachukua huku wakiringa mitaani na mimi nikaokota kisu lakini kumbe ni ki used cha zaman

Haina makombo babu
 
Wanasemaje huko,
Kigoma ni lazima tuje kukumbusha sera za ccm, chama lini twende huko?
Nini tena Mwl?unaitwa Kigoma maana nilifikisha salam zako "Mezaduara" Mwanga -Kigoma
 
Last edited by a moderator:
Wanasemaje huko,
Kigoma ni lazima tuje kukumbusha sera za ccm, chama lini twende huko?

Wanasema mpe salamu M\kiti Taifa kuwa "Operesheni Kimbunga"inakiua chama,hayo aliniambia Diwani wa Kalinzi-Kigoma Kask,anasema wapiga kura wengi wamefukuzwa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…