Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Kila kitu kikizidi sana kinachusha huyo bint lazima awe na mipaka
Vilevile inawezekana ikawa ni dalili nzuri kwamba hawa mapenzi yao si ya kufichaficha au kufichana vitu hili ni jambo zuri sana ktk mapenzi
Ndoa nyingi zimeharibika kwa sababu ya woga wa kuongea
Unaweza kukuta mwanamke anatombwa na mumewe mwaka mzima hajakojozwa hasemi anaogopa
 
Hafu hii kitu sijui kwa nini wazee wameifanya kua tatizo kuzuia ushuzi kwangu napata shida tumboni sijui kwa nini
Jamba tu babu, ila usijambe mbele ya mamwinyi wasije kuomba uwafungashie kwenye kikopo! Wananunuaga harufu wale
 
Sema jiongeze kiongozi, badilisha mboga hizo sasa mkeo unamlisha marage, kunde, dengu na mbaazi halafu unategemea mishuzi isimtoke!?

Nunua kuku, samaki na nyama mlage na mboga za majani tatizo lu ufyudhi wa mara kwa mara litaisha. Hio ni dalili humlishi mke vizuri.
 
Kujamba sio kubaya ila kujamba jamba mpaka inakuwa kero hiyo ni air pollution.. Jamba kukiwa na ulazima sio unajamba km upumuaji inakera hiyo doh [emoji58]
 
Screenshot_2018-04-16-09-26-22.jpg
 
Msaada tutani jamani,nina rafiki yangu anaitwa fyandomo ameniuliza swali hivi punde lililonifanya nichekeeee kisha nikamwambia nina kazi kidogo nitamrejea kumpa jibu sahihi,lakini ukweli ni kwamba hata hilo jibu ninaloweza kumwambia ni sahihi mimi pia sinalo na ndio chanzo cha kukimbilia huku kwanza kwenu wana jamvi maana najua penye wengi hapakosi utatuzi wa tatizo ama swali na jibu lake.

Amenidokeza kuhusu mke wake kuwa na tabia ya kujamba mbele yake pale anapojisikia bila kuwa na aibu yoyote hata wakati wa kula chakula,anasema tabia hiyo hakuwa nayo kipindi cha uchumba wao wakiwa Faragha popote pale (enzi za u-sister duu wa kitaani) kwa karibu ya miaka 3 yote,na hata baada ya kuanza kuishi pamoja kwa kipindi cha karibu miaka 2 wakiwa ndani ya ndoa hajawahi kuwa mtu wa kujiachia hivyo kwenye kujamba pasipo soni,ila kwa mujibu wa jamaa yangu fyandomo anasema kwa kipindi cha miezi 6 ya kutoka november mwaka jana mpaka sasa ndio ameanza ka mchezo hako.

Kwa upande wake anasema mwanzoni alichukulia kama ni bahati mbaya pengine gesi ilikuwa ikijaa tumboni na kuamua kumtoka pasipo tegemea hivyo waliishia kucheka na kutaniana,lakini sasa imekuwa ni too much na amegundua mkewe ameshafanya kamchezo mpaka inafikia hatua anaamua tu achambe za YUSUUUUUPHHH........au zile za MBUUUUUU na tena hata kwa kujikamua anapoamua.

Mwanzoni kwake anasema alikuwa anachukulia poa lakini kwa sasa imeshakuwa kadhia kwake,kiasi ameniambia kuna wakati wakiwa wamelala usiku mkewe akafyatua ufudu wakiwa ndani ya shuka ikamlazimu amfungukie kuwa awe na staha na ujambaji wake,lakini mkewe akamjibu AMUACHE APUMUE KWA RAHA ZAKE NA ETI KUMUULIZA KUPUMUA NAKO NI DHAMBI?,anasema ilimlazimu tangu siku hiyo afunge mdomo wake mpaka sasa na mwendo ni ule ule.

Sasa ndio ameniuliza,KAMA NI HATUA YA KUDHARAULIWA , NDIO KUCHOKWA au NI SEHEMU YA MAPENZI?

Nisaidieni jibu sahihi tafadhari ili nimpatie,liwe la Reja Reja au la Kisaikolojia mi ntampa yote atajiongeza mwenyewe kwa kuchagua.

Naomba kuwasilisha.
mwambie jamaa mara mojamoja awe anamsukumia mbolea kwa ndani
 
Mimi najambaa tu tena ushuzi ule wa tetemeko la ardhi unaopitia kwenye papuchi utasikia tu prapapapatapataaaa

Kujamba ni afyaaa jaman mwachen ajambe kwa raha zakeee
We jamba tu dadaangu kwa raha zako.
 
M
Msaada tutani jamani,nina rafiki yangu anaitwa fyandomo ameniuliza swali hivi punde lililonifanya nichekeeee kisha nikamwambia nina kazi kidogo nitamrejea kumpa jibu sahihi,lakini ukweli ni kwamba hata hilo jibu ninaloweza kumwambia ni sahihi mimi pia sinalo na ndio chanzo cha kukimbilia huku kwanza kwenu wana jamvi maana najua penye wengi hapakosi utatuzi wa tatizo ama swali na jibu lake.

Amenidokeza kuhusu mke wake kuwa na tabia ya kujamba mbele yake pale anapojisikia bila kuwa na aibu yoyote hata wakati wa kula chakula,anasema tabia hiyo hakuwa nayo kipindi cha uchumba wao wakiwa Faragha popote pale (enzi za u-sister duu wa kitaani) kwa karibu ya miaka 3 yote,na hata baada ya kuanza kuishi pamoja kwa kipindi cha karibu miaka 2 wakiwa ndani ya ndoa hajawahi kuwa mtu wa kujiachia hivyo kwenye kujamba pasipo soni,ila kwa mujibu wa jamaa yangu fyandomo anasema kwa kipindi cha miezi 6 ya kutoka november mwaka jana mpaka sasa ndio ameanza ka mchezo hako.

Kwa upande wake anasema mwanzoni alichukulia kama ni bahati mbaya pengine gesi ilikuwa ikijaa tumboni na kuamua kumtoka pasipo tegemea hivyo waliishia kucheka na kutaniana,lakini sasa imekuwa ni too much na amegundua mkewe ameshafanya kamchezo mpaka inafikia hatua anaamua tu achambe za YUSUUUUUPHHH........au zile za MBUUUUUU na tena hata kwa kujikamua anapoamua.

Mwanzoni kwake anasema alikuwa anachukulia poa lakini kwa sasa imeshakuwa kadhia kwake,kiasi ameniambia kuna wakati wakiwa wamelala usiku mkewe akafyatua ufudu wakiwa ndani ya shuka ikamlazimu amfungukie kuwa awe na staha na ujambaji wake,lakini mkewe akamjibu AMUACHE APUMUE KWA RAHA ZAKE NA ETI KUMUULIZA KUPUMUA NAKO NI DHAMBI?,anasema ilimlazimu tangu siku hiyo afunge mdomo wake mpaka sasa na mwendo ni ule ule.

Sasa ndio ameniuliza,KAMA NI HATUA YA KUDHARAULIWA , NDIO KUCHOKWA au NI SEHEMU YA MAPENZI?

Nisaidieni jibu sahihi tafadhari ili nimpatie,liwe la Reja Reja au la Kisaikolojia mi ntampa yote atajiongeza mwenyewe kwa kuchagua.

Naomba kuwasilisha.
Mbona fulesh tu! mwache ajambe bhana
 
Back
Top Bottom