mpenz kaniacha kisa sina hela

mpenz kaniacha kisa sina hela

Umesahau " HAPENDWI MTU INAPENDWA POCHI" asa we Pochi huna unategemea miujiza ama?
 
Bora kakuambia mapema wenzio wanalizwa hivyo wako kwenye ndoa, piga chini kama unakifua!
 
wakuu demu wangu kaamua kuniacha , nipo nae hu n mwaka 3, na mwez 1 this year alinitambulisha kwa mama yake , na mama yake maneno aliyotuambia muheshimiane , msichezeane alafu mkashindwa kufika malengo yenu, ila cha ajabu mara ya mwisho kama week tatu zilizopita aliniomba elfu 50, k ukwel nilikuwa sina hela coz nilimwambia sa hv najianda kulipa ada ya masters na nimeshaanza tayar , ndipo demu kaanza kuninunia nikipigia anaongea ktwa dharau, mara sikutak hujawah kunipa lolote nachokuomba ila ukwel nimempa vitu ving mno pesa ndogo kama buku 20 mara kibao nikipata, zawad , na huyu msichana naye yupo chuo moshi mwaka wa 3 na mm ndo nimemtoa sealed kwenye mapenz so nimetoka naye mbali sana cha kushangaza juz kaniambia hanitak tena, mm s mjal, s mpi hela anatafuta mwenye hela na jana usiku kaniambia marufuku nisimpigie simu namwaribia ndoa yake mm naona kama muujiza vile. cha ajabu huyu mpenz wangu kaacha nguo zake geto kwangu, na ana baadhi ya vitu vyangu kama funguo zangu za geto, pia alikuwa akija geto ananiambia nimpige picha za uchi na ninazo kwenye computer yangu mpaka sasa. je huyu kwel atakuwa ananipenda? na je nikikutana na mama yake nitamwambia je? na huyo msichana nikimwambia njoo uchukue nguo zako ananitukana.
wadau naomben ushaur wenu nifanyeje? kwa sasa nina stress sana sana

Kama unapesa demu wa nini sasa. Digiriii pesa vyeti mzigo ndugu.
 
weee kweli huna hela unalalamika kwa elfu 20 tuu.ungemtia stress 2 mtt wa wa2..
kajiunge saccos au vicoba utapataga asiyeomba hela maana mtakuwa wote mnakopa na kukopeshana ati..
life goes on boooy!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa hapa unataka ushauri gani,ameshakuambia hakutaki,mimi mademu wapenda pesa nawapenda kweli kwasababu wanaleta changamoto za kutafuta hela,kama vipi zitengenezee fremu hizo picha za uchi ziwe zinakuliwaza!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Either you teach her the hard lesson or quit fasta sana...
 
Wee si unasoma mastaz? Unasound kama la saba.

Sasa kuwa na picha zake za utupu ndio nini? Unataka kumlipua? Ndio atarudi?

Keshakwambia unamharibia ndoa, afu unatuuliza kama anakupenda, kweli? Atakupendaje afu akumwage?

Grow up!

Hayo ndo matatizo ya kupitiriza mastaz kwa GpA za kupewa
 
Potezea huyo wacha hiyo iwe chachu ya ww kutafuta hela kwa hasira then ukizipata hao madem watakufata wenyewe
 
Back
Top Bottom