mpenz kaniacha kisa sina hela

mpenz kaniacha kisa sina hela

wakuu demu wangu kaamua kuniacha , nipo nae hu n mwaka 3, na mwez 1 this year alinitambulisha kwa mama yake , na mama yake maneno aliyotuambia muheshimiane , msichezeane alafu mkashindwa kufika malengo yenu, ila cha ajabu mara ya mwisho kama week tatu zilizopita aliniomba elfu 50, k ukwel nilikuwa sina hela coz nilimwambia sa hv najianda kulipa ada ya masters na nimeshaanza tayar , ndipo demu kaanza kuninunia nikipigia anaongea ktwa dharau, mara sikutak hujawah kunipa lolote nachokuomba ila ukwel nimempa vitu ving mno pesa ndogo kama buku 20 mara kibao nikipata, zawad , na huyu msichana naye yupo chuo moshi mwaka wa 3 na mm ndo nimemtoa sealed kwenye mapenz so nimetoka naye mbali sana cha kushangaza juz kaniambia hanitak tena, mm s mjal, s mpi hela anatafuta mwenye hela na jana usiku kaniambia marufuku nisimpigie simu namwaribia ndoa yake mm naona kama muujiza vile. cha ajabu huyu mpenz wangu kaacha nguo zake geto kwangu, na ana baadhi ya vitu vyangu kama funguo zangu za geto, pia alikuwa akija geto ananiambia nimpige picha za uchi na ninazo kwenye computer yangu mpaka sasa. je huyu kwel atakuwa ananipenda? na je nikikutana na mama yake nitamwambia je? na huyo msichana nikimwambia njoo uchukue nguo zako ananitukana.
wadau naomben ushaur wenu nifanyeje? kwa sasa nina stress sana sana

asije akawa alkua kwenye kipindi chake cha mzunguko wa mayai....uspate stress,kashakutamkia ivyo akipata faham atadudi au la
 
Acha wenye meno wale mifupa badala ya kulialia hapa!! Mtu hela huna halafu unataka kumiliki demu!!!
 
acha kuhangaika nae,anika picha apo tuuone utam unaokupa stresss!! huyo co mwnamke wa kuoa na wala hakufai!
 
Sasa mim nauliza kakuacha kisa huna hela au hujamtumia hela jombaa? principle moja duniani humu ni binadamu haridhiki hata umpe range rover atataka umnunulie na air force one..wewe unatakiwa ujue..hilo..huwezi ridhisha mtu 100% ona sasa vitu vingi umempa na mwisho wa picha amekumimina..principle yangu ni hii manzi simpi hata sh. kumi maadam ni mpenzi waangu mkataba kati ya mim na yeye ni mapenzi tu..habari za ooh sijui tunasaidiana, nitumie shng flani mim sina shida peleka kwenu..etc..angalizo principle hii uwe tayari kuachwa maana mim sinaga muda wa kutoa hela ili nimridhishe ofcz sina kwasababu hata kama ninazo sitoi..pia..naaamin ntampata tu yule nae amini kichwani mwangu sio mizinga oriented... over...fanya kazi mapenzi hayajengi nyumba hayanunui altezza wala nissan x-trail...over....
 
One for the honeys who roll blunts up but don't smoke
Two for the few who see potential in you when you broke

Nas-Hey Nas
 
kubali matokeo mwanaharakati mwenzangu...sahau yaliyotokea na uanze upya akikumbuka alichosahau atakutafuta..kuhusu mama yake ukikutana nae akikuuliza mwambie ukweli..i hope that could help kaka

[/QUOTE]
"If someone you love hurts you cry a river, build a bridge, and get over it."

Get paid asap and get a better chick instead of bewailing around.
 
Kwa hii logic na argument zako inantia shaka hyo mastarz yko, okee n ishu ya hisia bt ndo ushindwe kuzicontrol hd uandike huu -----, nlitegemea kwa elim yko ungekuwa na forecasting huyo n mwanamke gn anayekubal kupiga picha za utupu, ukiwa huna hela no mapenz, aliyekwambia usimcol cz utamwalibia ndoa na cyo argument za funguo, sealed, elfu 20 na picha hpa!
 
Usiogope Masters unaweza ukasoma na usielemike kwani tuna maProf na maDkt kibao na hamna kitu,,
 
wakuu demu wangu kaamua kuniacha , nipo nae hu n mwaka 3, na mwez 1 this year alinitambulisha kwa mama yake , na mama yake maneno aliyotuambia muheshimiane , msichezeane alafu mkashindwa kufika malengo yenu, ila cha ajabu mara ya mwisho kama week tatu zilizopita aliniomba elfu 50, k ukwel nilikuwa sina hela coz nilimwambia sa hv najianda kulipa ada ya masters na nimeshaanza tayar , ndipo demu kaanza kuninunia nikipigia anaongea ktwa dharau, mara sikutak hujawah kunipa lolote nachokuomba ila ukwel nimempa vitu ving mno pesa ndogo kama buku 20 mara kibao nikipata, zawad , na huyu msichana naye yupo chuo moshi mwaka wa 3 na mm ndo nimemtoa sealed kwenye mapenz so nimetoka naye mbali sana cha kushangaza juz kaniambia hanitak tena, mm s mjal, s mpi hela anatafuta mwenye hela na jana usiku kaniambia marufuku nisimpigie simu namwaribia ndoa yake mm naona kama muujiza vile. cha ajabu huyu mpenz wangu kaacha nguo zake geto kwangu, na ana baadhi ya vitu vyangu kama funguo zangu za geto, pia alikuwa akija geto ananiambia nimpige picha za uchi na ninazo kwenye computer yangu mpaka sasa. je huyu kwel atakuwa ananipenda? na je nikikutana na mama yake nitamwambia je? na huyo msichana nikimwambia njoo uchukue nguo zako ananitukana.
wadau naomben ushaur wenu nifanyeje? kwa sasa nina stress sana sana
Mimi nakushauri hizo picha za uchi zitume rahatupublog
 
Pole jamaa yangu,ila mmmh unaonekana bado hujakomaa ktk mapenzi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Badili tabia kaonge cha maana sana kaka.. Mateso yakizid ujue neema inakaribia.and bora ameonyesha hayo b4 coz ingekuw aftr ndoa c ungekuwa mwizi upate hela.move on brah
 
Hivi mwanamke ni nani?Kwani akikuacha unapungukiwa na nini hadi uanzishe thread hapa?
'
Kama elimu uliyonayo imeshindwa kukusaidia kupata majibu hata hiyo dada ya Masters usilipe
'
Jamani tujifunze kufikiri vyema,hii tabia ya wanawake ya kuwafanya wanaume ndo sehemu ya kupata hela ni aina ya ukahaba
'
Mwanamke anataka elfu 50 za nini?Hana shughuli ya kufanya,hata kama hana shughuli iweje ajiingize kwenye matumizi makubwa kiasi hicho?
'
Halafu mwanamke mwenye gana busara halafu unajiuliza maswali ya kwanini au imekuaje amekuacha
'
Wakati mwingine Mungu anaamua kuingilia kwa nguvu mahusiano ya hovyo kama hayo kuwaokoa halafu mnajilizaliza khaaaaaaaaaa!
 
Sasa mim nauliza kakuacha kisa huna hela au hujamtumia hela jombaa? principle moja duniani humu ni binadamu haridhiki hata umpe range rover atataka umnunulie na air force one..wewe unatakiwa ujue..hilo..huwezi ridhisha mtu 100% ona sasa vitu vingi umempa na mwisho wa picha amekumimina..principle yangu ni hii manzi simpi hata sh. kumi maadam ni mpenzi waangu mkataba kati ya mim na yeye ni mapenzi tu..habari za ooh sijui tunasaidiana, nitumie shng flani mim sina shida peleka kwenu..etc..angalizo principle hii uwe tayari kuachwa maana mim sinaga muda wa kutoa hela ili nimridhishe ofcz sina kwasababu hata kama ninazo sitoi..pia..naaamin ntampata tu yule nae amini kichwani mwangu sio mizinga oriented... over...fanya kazi mapenzi hayajengi nyumba hayanunui altezza wala nissan x-trail...over....

. . . . . . . . .Word!!!! . . . . . . . .
 
dedication! Badilika................BY DR.Jose Chamelion, Uganda! achana naye, watoto wa chuo hawana mapya, siku zote wao ni ushindani.
 
dogoooo...huna hela mpaka demu anakuachaaa?????..dogooooooooo.

Wakati ndani kwenye laptop yako una -habari nzito na iliyovunjikavunjika ambayo inatosha kuingiza siku kwako, kwa shigongo na familia ya wana-global publishers wakaenda uani na kukausha nyasi njia iendayo uani....then umekalia mzunguko wote wa pesa na kuja kulialia hapa jf.....

Fasta gugo website ya shigongo wasiliana nnao kisha peleka mzigo na maelezo kwa ufupi...kila picha unakula pesa ya maana naoana jinsi hiyo habari inavyouza maana ni hao wanavyuo-wanaojiuza na shigongo amaeamua kuwatia disipilini....

Uza habari pata pesa kisha mwage demu wako kimeo huyo..na huko kwa basha wake anayemuita mume atamwagwa na huitaji kujibu chochote kwa mama yake coz atakuwa keshasoma habari kwenye magazeti pendwa....

Na maisha yake yatabadilika from bad to worst...sijui ni ofc gani itamuhitaji kunuajiri mtu mwenye scandali kama hiyo kwenye ofc yao...then ataishia kufungua bucha la jioni na kuuza nyama maeneo ya ohio, kinondoni makaburini, jolly, masaki, buguruni, kona baa, matejoo, chako ni chako..etc

DO THE MATH TAKE THE RISK
 
wee endelea na shule kwanza labda Mungu kakuepushia kitu fulani
 
Wee si unasoma mastaz? Unasound kama la saba.

Sasa kuwa na picha zake za utupu ndio nini? Unataka kumlipua? Ndio atarudi?

Keshakwambia unamharibia ndoa, afu unatuuliza kama anakupenda, kweli? Atakupendaje afu akumwage?

Grow up!

Mimi mwanaume mwenzake lakini nataka aachwe!! Hawezi kuja hapa kueleza habari za kumpa "elfu 20 mara kibao nikipata, nimemtoa sealed (nadhani unazungumzia bikira)", sijui zawadi kibao" nk. Ajue haya:

a) Kumtoa mtu bikira sio big deal kama anavodhani. Mimi nilioa aliyetolewa bikira na mtu mwingine and I dont mind. Kama bikira ilikuwa ni msingi wa wao kuwa pamoja, asingekuwa hata mpenzi tu kwangu - acha kuwa mke!
b) Akidhani kusema sina inatosha, amekosea - wengine hukopea mpenzi ili kuepusha hatari zingine. Sijui alitaka demu avumilie mpaka akipata hizo fedha??

Kiukweli elfu 50 kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa 3 si fedha nyingi sana. Na kama hana, awaachie walionazo!! This is not rocket science, he simply doesn't have all it takes to keep the girl.
 
Back
Top Bottom