mpenz kaniacha kisa sina hela

mpenz kaniacha kisa sina hela

mr traders

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
38
Reaction score
15
wakuu demu wangu kaamua kuniacha , nipo nae hu n mwaka 3, na mwez 1 this year alinitambulisha kwa mama yake , na mama yake maneno aliyotuambia muheshimiane , msichezeane alafu mkashindwa kufika malengo yenu, ila cha ajabu mara ya mwisho kama week tatu zilizopita aliniomba elfu 50, k ukwel nilikuwa sina hela coz nilimwambia sa hv najianda kulipa ada ya masters na nimeshaanza tayar , ndipo demu kaanza kuninunia nikipigia anaongea ktwa dharau, mara sikutak hujawah kunipa lolote nachokuomba ila ukwel nimempa vitu ving mno pesa ndogo kama buku 20 mara kibao nikipata, zawad , na huyu msichana naye yupo chuo moshi mwaka wa 3 na mm ndo nimemtoa sealed kwenye mapenz so nimetoka naye mbali sana cha kushangaza juz kaniambia hanitak tena, mm s mjal, s mpi hela anatafuta mwenye hela na jana usiku kaniambia marufuku nisimpigie simu namwaribia ndoa yake mm naona kama muujiza vile. cha ajabu huyu mpenz wangu kaacha nguo zake geto kwangu, na ana baadhi ya vitu vyangu kama funguo zangu za geto, pia alikuwa akija geto ananiambia nimpige picha za uchi na ninazo kwenye computer yangu mpaka sasa. je huyu kwel atakuwa ananipenda? na je nikikutana na mama yake nitamwambia je? na huyo msichana nikimwambia njoo uchukue nguo zako ananitukana.
wadau naomben ushaur wenu nifanyeje? kwa sasa nina stress sana sana
 
Wee si unasoma mastaz? Unasound kama la saba.

Sasa kuwa na picha zake za utupu ndio nini? Unataka kumlipua? Ndio atarudi?

Keshakwambia unamharibia ndoa, afu unatuuliza kama anakupenda, kweli? Atakupendaje afu akumwage?

Grow up!
 
::
Tunawapenda sana wapenzi wetu hadi tunasahau na wao ni binadamu kama sisi wanaweza kuanguka.
=
 
pesa sabuni ya roho,mwache aende kama anahisi kuna bahari ya pesa huko anapopakimbilia ukiona hivyo ujue kuna lijitu linajifanya M-pesa limemzuzua,usimng'ang'anie mtu ambaye hana msimamo ktk maisha mtu mwenye mapenzi ya dhati hatangulizi pesa mbele bali upendo,hekima.heshima,kuvumiliana na kuridhika huku akiwa mstari wa mbele kukutia moyo wa kupambana na maisha ili kujikwamua ni hayo tu.

kuhusu picha hazina maana tena ni maramia ukazidelete zote kwani dawa ya moto ni maji,usilipize kisasi fanya mambo yako maisha yasonge kwa sababu huyo ni mtu mzima anatambua mema na mabaya hauwezi kumlazimisha aendelee kukupenda,its over meeeeeeeeeeeeeen.
 
Ndugu mimi nakushauri uendelee na maisha yako nenda ukasome masters yako kama kweli alikuwa wako atarudi kama sio atakuja mwingine
 
wakuu demu wangu kaamua kuniacha , nipo nae hu n mwaka 3, na mwez 1 this year alinitambulisha kwa mama yake , na mama yake maneno aliyotuambia muheshimiane , msichezeane alafu mkashindwa kufika malengo yenu, ila cha ajabu mara ya mwisho kama week tatu zilizopita aliniomba elfu 50, k ukwel nilikuwa sina hela coz nilimwambia sa hv najianda kulipa ada ya masters na nimeshaanza tayar , ndipo demu kaanza kuninunia nikipigia anaongea ktwa dharau, mara sikutak hujawah kunipa lolote nachokuomba ila ukwel nimempa vitu ving mno pesa ndogo kama buku 20 mara kibao nikipata, zawad , na huyu msichana naye yupo chuo moshi mwaka wa 3 na mm ndo nimemtoa sealed kwenye mapenz so nimetoka naye mbali sana cha kushangaza juz kaniambia hanitak tena, mm s mjal, s mpi hela anatafuta mwenye hela na jana usiku kaniambia marufuku nisimpigie simu namwaribia ndoa yake mm naona kama muujiza vile. cha ajabu huyu mpenz wangu kaacha nguo zake geto kwangu, na ana baadhi ya vitu vyangu kama funguo zangu za geto, pia alikuwa akija geto ananiambia nimpige picha za uchi na ninazo kwenye computer yangu mpaka sasa. je huyu kwel atakuwa ananipenda? na je nikikutana na mama yake nitamwambia je? na huyo msichana nikimwambia njoo uchukue nguo zako ananitukana.
wadau naomben ushaur wenu nifanyeje? kwa sasa nina stress sana sana

nitumie basi hizo picha za uchi nizione..
 
Gangamala mwaya. Saka mahela si unajua mkono mtupu haulambiki?
 
picha za uchi kaka unazo sasa unashindwaje kupata revenge kaka....sambaza kwa marafiki zake na global publishers
 
Mpita njia huyo,piga chini piga shule hela itakuja tu badae.wacha akaolewe na bank
 
Huyo dogo amekusaidia sana...endelea na shule yako atalia sana baadae lakini ATAKUWA AMECHELEWA. Halafu hizo picha chafu zidelete au nipe mimi NIKUTUNZIE hazina maana kwako kwa sasa...
 
safari yako na yy itakuwa imeishia hapo kaka, kifupi utakuwa umeyaaga mashindano. Huyo dada kashadanganyika, wala ucpoteze muda wako. Tambua kuwa mke mwema anatoka kwa Mungu, omba bila kuchoka naye atakuonyesha mke wa maisha yako( stress free wife). Pole.
 
Wee si unasoma mastaz? Unasound kama la saba.

Sasa kuwa na picha zake za utupu ndio nini? Unataka kumlipua? Ndio atarudi?

Keshakwambia unamharibia ndoa, afu unatuuliza kama anakupenda, kweli? Atakupendaje afu akumwage?

Grow up!

kweli mkuu mshkaj anaonekana kama ELO WAI. M2 anasoma masters anashndwa kukaa na demu wake na kumpanga. 3yrz ktambo demu kajua huna mpango nae na kuomba 50 ilikuwa ni kuthbitisha2 ili aond km jamaa atamsaidia.
 
Pole sana lakini kuwa na picha zake za utupu si kitu, kumtoa sealed si kitu!

Kubali matokeo usonge mbele wanawake wapo wengi utapata wa kwako:

Ila na kushauri usilipize kisasi maana ulivyo andika unaonesha wazi unataka kufanya hivyo!
 
nguo zake choma......mama yake utamwambia kuwa binti yake mmeachana......picha zake delete....vitasa vya vyumba badilisha......endelea na maisha
 
Ulimpata kwa mpesa sasa umefulia umeanza kulalamika! Waache wanaojua kutunza waendelee kula tunda baada wewe mwenyewe kuwamenyea.
 
Looh.pesa ndio mambo yote!!!!ucjickie vibaya kaka yangu huyo kakupunguzia mashuzi do u think cku ungepata shida tayari umeuoa angevumilia??piga kitabu utapata wako
 
Tuliza akili! Huyo mdelete fasta! Mwache aende kumtoa sealid sio 7bu!labda ilikuwa ya limao!!tehe!tehe!tehe! Ila wee naye noma hadi unakumbuka 20elf ulizokuwa una m-pesa!! Je zile shiva!shiva!!, ee bhana mapenzi ni kama siasa tu! Kuna walioingia 2010 kwa mbwebwe ila 2015 watamwagwaje!!
Jf never bored
 
picha za uchi kaka unazo sasa unashindwaje kupata revenge kaka....sambaza kwa marafiki zake na global publishers
kwa hapo umenena shigongo anakupa 80 elfu yako unapotea kama nilikuwa pc za mshindi wa miss Tanzania namba 5 za utupu nikajilia zangu mpunga ila luku kaponea chupu chupu isingekuwa kesi yake ningeshashughurika muda
 
Back
Top Bottom