Mpenz aomba nimgombeze....


Mkuu comment yako inaonesha una akili timamu kabisa, lakini umeamua kujifanya zezeta kung'ang'ana na CCM! Unataka kuniaminisha kwamba kuna mtu ameiba pwd yako kakomenti au?
 
Amekuona na mtu wa kuchekacheka kama mkuu wa nchi flani hivi na ndio maana anahisi kama una shida flani hivi
 

Mtandike makofi kadhaa, atafurahi zaidi.
 
umepata wap akil zote hiz? coz kwenye siasa nakuonaga kama bonge la kilaza.
 
Mkalipie tu wanawake siye ni viumbe wagumu loh!! Kila mtu na ugumu wake loh!!
 
Hii mada ni kali ni kweli lazma akushangae yaani mtu anakukosea ww unambembeleza its funny! Kitendo cha mtu kufanya kosa na akagundua kwamba amekosea then ww ukachukulia poa wakati alitegemea reaction lazma ajiulize maswali kibao pengine anaona humpendi! Anyway inategemea na kosa!
 

Usimgombeze 2 mkate na vibao pia.
 
Sasa mbona issue ni simple sana, si umgombeze tu kwani tatizo liko wapi?
 
Kapitia jkt nini? Anataka mapenz ya kijeshi jeshi watu wanataka kubembelezwa yeye anataka kugombezwa duh

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

ndugu hujanielewa.
Sio kwamba akifanya kosa nachukulia poa, hamna ila huwa na mwambia kwa polite language na anakil kakosea na anaomba msamaha! Anacho taka nimkalipie akikosea na hapo ndo napata shida.
 
Kapitia jkt nini? Anataka mapenz ya kijeshi jeshi watu wanataka kubembelezwa yeye anataka kugombezwa duh

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

is this your real photo?
 
hivi kumkaripia mtu walau mara moja kuna shida gani ili roho yake itulie au ndio umekuja kutuambia kwamba wewe ni mpole
 
duh! kweli kuna safari ndefu sana ya kumkomboa mwanamke wa ki-TZ kutoka kwenye unyanyasaji wa kijinsia na mfumo dume. sasa huyo anayeomba mwenyewe agombezwe, siku ukimkung'uta atakubali kweli kwenda kukulaza polisi?
 
Mpe kipigo sawasawa. Huyo lazima ana damu ya Kikurya tu. Tena Mkira au Mwiregi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…