Wasalaam wanaJf.
Npo kwenye mahusiano na msichana kwa takriban mwaka mzima.
Kiukwel mimi napenda sana polite language and kindness sio kwa mpenz wangu tu hata kwa watu wengine.
Napenda sana kufanya kitu ambacho nikifanyiwa sitaumia na huwa nachukia sana lugha ya ukari na sipend kuitumia hasa kwa mpenz wangu.
Tumekuwa tukikwazana na mpenz wangu lakin mara zote huwa naongea nae kwa upole na upendo na mambo uisha vzri.
Ni kama mara mbili au tatu mpenz wangu amekuwa akiniomba seriously kuwa angalau nimgombeze siku moja akinikosea na atajìsikia raha na kuona nampenda sana.
Kiukwel mimi sipend na siwez. je, nifanyeje