Mpendwa mwanaume mwenzangu

Man Middo tz

Senior Member
Sep 9, 2020
154
230
Mpendwa mwanaume mwenzangu,
Hapo ulipo hebu fumba macho. Baada ya hapo vuta picha umebarikiwa kuwa na mtoto wa kike tayari.
Vuta picha mwanao yupo katika mahusiano na mwanaume mwenye tabia kama zako.

Je hapo ulipo unatabasam kwa kumpata mtu sahihi? Bila shaka ni HAPANA, Kama ndivyo basi ni wakati wako WAKUBADILIKA. Tabia chafu na mbaya hazikupeleki popote.
1671525351753.jpg
 
Nadhani hili linapaswa kuangaliwa na jinsia zote yaani wanaume na wanawake.

Kiukweli Kuna baadhi ya mienendo na matendo tunayoyafanya hayaendani na utu wala taratibu zetu za kijamii

Mabadiliko chanya yanahitajika ili kuboresha na kustawisha jamii yetu
Hakika, shukran mkuu
 
Hayaaa wanaumee hasa wenyee watoto wa kike mnaitwaaa huku

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie kina mama pia muwafundishe watoto wenu wa kike maadali mema.
Vibinti vya siku hizi hua vinatubadilishia gia angani bila hata sisi wenyewe kujua.
Huu sio uungwana kwa kweli, wanaume wengi hua hatufurahishi na hio tabia ni basi tu tunavumilia maana hatuna jinsi.
 
Mpendwa mwanaume mwenzangu,
Hapo ulipo hebu fumba macho. Baada ya hapo vuta picha umebarikiwa kuwa na mtoto wa kike tayari.
Vuta picha mwanao yupo katika mahusiano na mwanaume mwenye tabia kama zako.

Je hapo ulipo unatabasam kwa kumpata mtu sahihi? Bila shaka ni HAPANA, Kama ndivyo basi ni wakati wako WAKUBADILIKA. Tabia chafu na mbaya hazikupeleki popote.View attachment 2452560

Barikiwa mnoo
 
Kwa kweli mim mtoto angu akipata mwanaume mwenye tabia kama za baba ake ntashukuru sana.
 
Back
Top Bottom