Mpende mwanamke lakini usimwamini katu!

Huwa wanaanza taratibu kama hivi mwanamke haaminiki, Mara sijui usimpende kesho tutasikia acha tuone wenyewe kwa wenyewe huko ndipo tunakoelekea sasa
Hizo ni fikra Mfu Sana, lengo ni kuepusha wanaume kuingia mazima ama miguu miwili kumpenda mwanamke then wakisalitiwa wanajiua. Wajue tu kuwa mwanamke Haaminiki na si jamaa yako mna undugu wa kitandani muda wowote unakufa huo undugu. So wasifikie hatua ya kijiua kisa Kusalitiwa.
 
Hivi unni mapenzi yote ni yapi hayo?
 
Mwanamke kama maji babu.....
Hujui maji ni oksjeni unajitengenezea ukaachana maji yalikwisha tengenezwa maana kuna muda wanakuwepo vimelea..! Bora kama huwezi tengeneza yachujwe tuuh..![emoji41][emoji41]
 
Kabisa..unayemuamini ndio anakusaliti

Alafu baba naniliu ile cover ya despacito ya kimeru nimeiona..wanajua aseee ila nimecheka sana
Nasubiri yako basi mama
 
Mama'ko ni hivyo hivyo?
 
we jamaa upo kama mm aisee ni marufiku kabisa kuwaamni awa viumbe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…