SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,803
- 1,863
- Thread starter
- #21
Kama response yenu ni ya namna hii, basi Jerry Murro anawafaa. Mmeshindwa kupekua post zangu za nyuma kuona kama nina mahusiano na Jerry Murro.
Ukweli ni ukweli tu hata kama unamhusu Jerry Murro au Mbowe.
Ukweli ni ukweli tu hata kama unamhusu Jerry Murro au Mbowe.
Jery umeona huku ndio kwa kutokea sio?? Endelea na majungu huenda ukafanikiwa maana wakolomije wanataka watu kama wewe
mwandikie barua Magufuli akuteue.
Jerry Murou mejianzishia uzi kujipromote, hovyo kabisa. CCM ndio size yako inayokufaa kazana kutukana.
Mkuu weka audio ya hiyo nyimbo mana kusoma hiyo yote duh
Jerry Muro unavituko sana! Umeona Press yako haitoshi sasa unaamua kuanzisha threads za kumponda Mr. Slow a.k.a Mhenga wa TYC. Najua lengo lango ni kutaka uwe mtoa matusi wa CCM kama alivyokuwa TAMBWE HIZZA! Hongera jitahidi unaweza kushinda vita.
Muro ana hoja anafaa kupambana na CHADEMA
Aliyeandika hii thread atakuwa ni Jery Muro