Mpendazoe aanika walioanzisha CCJ


Waanzilishi wenzake ni kina nani?
 

CCM hamna Jipya, Nape ndo mwanzilishi wa CCJ
 
ndio maana mimi huyu waziri wa east afrca kuna wakati huwa namwangalia kwa jicho la ndege
 

kama lengo lilikuwa kuja kuungana na chadema ili waing'oe ccm kwanini wasingetoka moja kwa moja kwenda kuongezea nguvu cdm ili waitoe iyo ccm?
 
kama lengo lilikuwa kuja kuungana na chadema ili waing'oe ccm kwanini wasingetoka moja kwa moja kwenda kuongezea nguvu cdm ili waitoe iyo ccm?

Holy crap!

Simple logic, hukutakiwa kuuliza hilo swali jibu unalo.....next time save your little brain for future use.
 
CCM hamna Jipya, Nape ndo mwanzilishi wa CCJ

Huyu Mpendazoe mwisho wa siku atawaacha CDM njia panda, hana msimamo. CDM nao mnapa jukwaa kwa kutangaza SIX, Mwakiyembe na Nape kama waanzilishi wa chama mfu CCJ lakini anashindwa kutuambia CDM ikiingia madarakani itafanya jambo gani jipya kwa watz. CDM inaelekea kubaya na harakati zenu za maandamano endelevu na siasa majitaka:dance:

 
Mheshimiwa Raisi wetu JK SASA ndio muda muafaka wa kuondoa magamba yote yaliokifikisha chama chetu hapo kilipo , KAMBI ZOTE MBILI ZINAZOKIVURUGA CHAMA wanastahili kutimuliwa kwa kulea makundi kama ifuatavyo:

Lowasa na kundi lake ,Sitta na kundi lake naamini CDM watakuwa wamekosa cha kuongea kwenye hayo maandamano yao yasiyokuwa na kichwa wala miguu
 

Tutaandamana hadi kieleweke!
 
Wewe Ulitaka ARUDI CCM baada ya CCJ Kuhujumiwa Usajili?
 
mafilili hawa jamaa wanakulipa sh ngapi kwa kila post humu jf?
 
Watanznaia tunapenda sana siasa kuliko chochote kile, sababu tuanpenda kuzungumza sana na uvivu, maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mwananchi mwenyewe, ujitume na uache uvivu, msitegemee kila kitu kitaletwa na serikali ili hali hamtaki kujishughulisha, hata ukienda bank kama NMB ambayo ndiyo tunasema kunivijimikopo vidogo ili upate kilo moja ya sukari, wengi ni kina mama wakina baba soga na ukizipata lazima mtaa wakukome na kumbatia kila mwanamke. Tufanye kazi siasa tumezichoka , hata hao wazungu huku naona wanafanya kazi sana na siasa inawakati wake.hata hao waliossoma walioTRA au TPa ua sehemu zenye malipo makubwa bado mafisadi na wezi wakubwa wa kodi za wannchi na niwapenzi hata wa hiyo Chadema au CCM

  • :mod:
 
SITTA AJIBU

Waziri Sitta alipoulizwa kuhusu madai ya Mpendazoe alisema: “ …waanzilishi wa CCJ wapo kwa msajili.”
Nimelipenda sana jibu hili.. Tuache tuhuma mwenye uthibitisho kutoka kwa msajili wa vyama alete hapa hizo data... Haya maswala ya kutajana majukwaani yashapitwa na wakati!..
 
Ni shujaa,hii inaonesha ni jinsi gani anaichukia ccm (chama cha magamba)
 
JK mungu anampenda sana kwani moja ya makundi yaliyokifikisha ccm hapa ilipo ni kundi la Sitta na Lowassa . Ni wakati muafaka sasa kuyafutilia mbali haya makundi kwani kila kundi ni hatari kwa uhai wa Chama. Naamini CDM WATAKOSA cha kuongea kwenye haya maamdamano yasiyokuwa na kichwa wala miguu
 
Ni shujaa,hii inaonesha ni jinsi gani anaichukia ccm (chama cha magamba)

Wewe Ulitaka ARUDI CCM baada ya CCJ Kuhujumiwa Usajili?

Dk. Mwakyembe alisema tatizo la Mpendazoe ni kwamba ana papara wakati siasa hazitaki hivyo na wala siasa sio mdundiko ambao kila anayeusikia husindikiza kwa macho na kwa miguu.

"Sisi tumeamua kubaki ndani ya chama tawala kuendesha mapambano dhidi ya ufisadi. Tutaendelea na mapambano tukiwa humu ndani na tunafanikiwa sana," alisema Dk. Mwakyembe.
 
mwanasiasa kutokuwa na msimamo ni tatizo. leo hapa kesho kule, at the end of the day who can trust you? in this case Mpendazoe is ha hero, ameonyesha kwamba yeye yupo against CCM from the day he decided to quit and he will remain.
 


Hapo kwenye Red ndipo nadhani picha mpya inakoelekea? Nina wasiwasi na hao wawili wa Habari Corp maana wanajifanya CCM sana ama walikuwa wanakula huku na huku, hilo pia nadhani linawezekana. Nisaidieni wakuu kupata ukweli maana hili picha la Mpendazoe linatanuka sana sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…