jamaa mmoja wa kipemba aliingia dukani Dar kununua viatu, mwenye duka akamueleza kuwa siku 3 za kwanza viatu vitamuumiza na huenda vikamtoa malengelenge, jamaa akachukua viatu kufika nyumbani akaviweka muda wa siku 3 ndio akaanza kuvivaa.
We ndo hujaelewa, great thinkers wa ukweli tumeshaelewa zamani. Ni kwamba jamaa alidhani kwa kuviacha hivyo viatu kwa muda wa siku tatu za mwanzo baada ya kuvinunua huenda ndiyo ingesaidia visimtoe malengelenge na hapo mwandishi alimmaniisha jamaa ni kilaza, upo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.