MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,054
Wasombwe tu, tumechokaa. Waanze na huyu prof. njaa maghembe tumechoka tumechoka tumechoka.Watanzania wengi ni wagumu sana kubadilika!
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan kila siku anawambia wabadilike kwa sababu zama zimebadilika lakini wameziba masikio na hawataki kubadilika.
Ndugu yangu Diwani Athumani alikuwa anadhani ni zama zileee ambazo unaweza kuweka uzio kwa sababu ya cheo chako au ukaribu wako na Ikulu na hakuna wa kuhoji kwa nini unaweka uzio .
Huu sio muda wa kukumbatia mitandao ya kijangili na kifisadi. Zama zimebadilika sana.
Kwa nini baadhi ya watu hawajifunzi kwa Home Shopping Center ambayo baada ya kunusa hatari iliyoko mbele wakaamua kujifilisi kisheria na kuibuka huku wamevaa ngozi nyingine kibiashara inayoitwa GSM Foundation.
Rais Magufuli kila mara anawaambia kama unafahamu ulikuwa unatenda dhambi za kisiasa na kiuchumi. Huu ni muda wa kutubu na kuachana na dhambi hizo.
Vita vya nyara za serikali imemuondoa Diwani Athumani.
Kuna wengine bado wako mbioni kusombwa na mafuriko.
Sasa ulitaka niweke maoni yako?Sasa kichwa cha habari ni Mpemba halafu ndani ni maoni yako tu
na hiyo habari ya mpemba haipo
na wewe mbona hubadiliki?
Mhh, hiyo ya Mpemba Effect ni habari nyengine kabisa.The Mpemba's effect
Unajua kazi ya DCI Lakini ?Kama humfahamu mtu anayejulikana kama ''mpemba'', ingia kwenye mtandao ya NGO zinazopambana na vita vya ujangili wa nyara za serikali au subiri kesi ya ''Malkia wa pembe za ndovu''.
Watanzania wengi ni wagumu sana kubadilika!
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan kila siku anawambia wabadilike kwa sababu zama zimebadilika lakini wameziba masikio na hawataki kubadilika.
Ndugu yangu Diwani Athumani alikuwa anadhani ni zama zileee ambazo unaweza kuweka uzio kwa sababu ya cheo chako au ukaribu wako na Ikulu na hakuna wa kuhoji kwa nini unaweka uzio .
Huu sio muda wa kukumbatia mitandao ya kijangili na kifisadi. Zama zimebadilika sana.
Kwa nini baadhi ya watu hawajifunzi kwa Home Shopping Center ambayo baada ya kunusa hatari iliyoko mbele wakaamua kujifilisi kisheria na kuibuka huku wamevaa ngozi nyingine kibiashara inayoitwa GSM Foundation.
Rais Magufuli kila mara anawaambia kama unafahamu ulikuwa unatenda dhambi za kisiasa na kiuchumi. Huu ni muda wa kutubu na kuachana na dhambi hizo.
Vita vya nyara za serikali imemuondoa Diwani Athumani.
Kuna wengine bado wako mbioni kusombwa na mafuriko.
Sasa hasira za nini badala ya kuandika kitu kinachoeleweka watu wakuelewe ila unaishia kutaja "mpemba" hoja yako ni ipi?Sasa ulitaka niweke maoni yako?
Kwani wewe umebadilika?
Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.
Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na
kuondoka tu.
Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.
kwahiyo GSM Washakuwa halali ilhali mnajua kuwa wamejivika ngozi nyingine.Na misaada wanatoa na serikali inaipokea.Ebu nirudishie imani iliyopotea juu ya hii serikali unayoisifu kila kukicha...Huu sio muda wa kukumbatia mitandao ya kijangili na kifisadi. Zama zimebadilika sana.

.