Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
Mwanamke akiwa peke yake asiingie bar ili asidhaniwe anategesha?
Nyani Ngabu, hii perception ipo kweli na inaudhi.
Sometimes mtu unajisahau kama perception hii bado ipo unaenda mahali kupumzimka.
Kuwa mwanamke dunia hii ya tatu kazi sana.
Kweli kabisa. Kuwa mwanamke kwenye ulimwengu wa tatu ni kazi. Unaweza kubakwa katikati ya mji in broad daylight na asitokee hata hero mmoja kukuokoa kisa tu umejitakia mwenyewe kwa kuvaa nguo iliyo revealing.
It's too bad and too sad!
Yaani shida tupu.
Mie sikujua kama kubakwa mwanamke ni kosa, nilizoea kuona msichana kabakwa afu mwanamme anaenda kutoa posa na kumuoa.sijui hao wadada walikuwa wanaolewa kwa kupenda ama kuficha aibu ilowapata?
Nimekuja gundua ni kosa nikiwa mkubwa mno.
ukirushiwa chupa na mlevi utamlalamikia nani?si kila muingia bar ni mnywaji wa bia.. Wengine hunywa softdrink na Bar hauzi bia tu.
ishawahi tokea, jamaa kachungulia kakuta mabinti wanachapa soda kapiga mahesabu, kaona hata wakinywa kumi kumi thirty haifiki, katuma waiter awahudumie kuja kuomba bill, inasoma five figures!!! mabint waliswap heigken kwa soda!
Umenikumbusha wimbo wa wazee wa ngwasuma
'
Heshima ya Mwanamke
'
Sio kila mwanamke akiingia baa ni . . . . . . . . . !!!!
'
Lakini Madam Kongosho nikiuita achilia mbali kukudhania,kuwa wewe mwizi halafu ukawa sio mwizi,kuna kitu gani kinakukereketa?
Mtu kudhani mie mwizi wakati sio mwizii sio tatizo.
Tatizo linakuja pale mtu anadhani mie mwizi afu anakuja niambia usoni mie mwizi. Namwona anafanya uchokozi wa makusudi.
Mtu kudhani nwanamke anayeenda bar anatega sio tatizo, tatizo ni anapoanza hizo ofa.
Unacheka wakati mie nataka kufanya asasinesheni?
Nashangaa kwa nguvu tu
Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'
Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.
Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.
Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?
Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.
Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.
taratibu weeeee!ina maana we ndo unajua sana au,kama hutaki ofa si ukatae huko huko bar,usikute unatamani sana hizo ofa ila hupewi,usijifanye mwema ili upate mume jf kama ni gume gume basi utabaki hivyo tu,tena nna mashaka kama nguo yako ya ndani ni safi(kama umevaa lakini)
Hahahahah mkweeeeeee kumbe mkwe una garrrr? Gaaary yako gary gani vile? Pole yangu na baisko yangu. Ngoja nikaze buti LOLhiyo hali haijawahi kunikuta na naomba isinikute......
kwenda bar peke yangu? no ways......
hata kama nakutana na watu na ikatokea mimi nimewahi kufika sitoki kwenye gari mpaka wafike. siwezi kabisa kukaa bar peke yangu, sijui kwa nini
We ni He au She? Mbona mipasho kama Khadija Kopa?ina maana we ndo unajua sana au,kama hutaki ofa si ukatae huko huko bar,usikute unatamani sana hizo ofa ila hupewi,usijifanye mwema ili upate mume jf kama ni gume gume basi utabaki hivyo tu,tena nna mashaka kama nguo yako ya ndani ni safi(kama umevaa lakini)
tunayo ndiyo babu, ya ukoo.....Hahahahah mkweeeeeee kumbe mkwe una garrrr? Gaaary yako gary gani vile? Pole yangu na baisko yangu. Ngoja nikaze buti LOL