Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
hiyo hali haijawahi kunikuta na naomba isinikute......
kwenda bar peke yangu? no ways......
hata kama nakutana na watu na ikatokea mimi nimewahi kufika sitoki kwenye gari mpaka wafike. siwezi kabisa kukaa bar peke yangu, sijui kwa nini
si sahihi mwanamke kwenda bar mwenyewe.. taswira nyepesi inayojengeka anaoneka ana uza..
na vile uko mwenyewe lazima ukubali usumbufu
siku hizi tuna simu......Wewe uliyekwenda na gari binafsi utafanya hvyo wakati unawasubiri hao ambao una miadi nao. Vp kuhusu yule anayetumia daladala?
Dah! Mashemale wapo bongo?Si kila avaaye sketi ni mwanamke ujue?
Mtakavyofika huko ukaombwa vaseline hakuna kulia.
Wewe uliyekwenda na gari binafsi utafanya hvyo wakati unawasubiri hao ambao una miadi nao. Vp kuhusu yule anayetumia daladala?
siku hizi tuna simu......
nikishuka kituoni nampigia, kama hajafika basi nitasubiri kituo cha daladala kama nasubiri mgeni, lol!
Nashangaa kwa nguvu tu
Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'
Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.
Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.
Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?
Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.
Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.
ha ha haaaa, lol! ngoja nicheke kwanza. Kongosho, mimi nimejifunza kumwambia waiter pelekea yule kinywaji anachokunywa...
Obvious huwezi mwagizia mtu kinywaji cha kwanza, lazima atakuwa anakunywa then namwongezea.
Kuna siku tulienda sehemu tukakuta familia ipo, mume, mke, watoto.......
baba anakunywa bia, mama na watoto wanakunywa soda......
tukamwambia waiter awapelekee kinywaji.....
cha ajabu walibadilisha vinywaji, sijui ndo kukomoa au vipi.....
mama na watoto wakahamia kwenye bavaria........ nikajishangalia tu watoto WANAONJESHWA bavaria sababu ya offer, lol!
Kongosho, hofu ya nn? C unywe tu, ujue wanaume wa tz tumeumbwa na ukarmu sana af tunajua kuwawezesha. C mpaka muwezeshwe ndo mnaweza so ni mojawapo ya uwezeshaji.
siku hizi ndo nafanya hivyo...ungemwambia waiter wapelekee soda wale watoto na mama yao, halafu mpe baba yao bia
Kongosho hakasiriki kuagiziwa bia...inakera sana.
Dawa akikuletea bia moja wewe muagizie bia 3! Wapuuzi sana
hiyo hali haijawahi kunikuta na naomba isinikute......
kwenda bar peke yangu? no ways......
hata kama nakutana na watu na ikatokea mimi nimewahi kufika sitoki kwenye gari mpaka wafike. siwezi kabisa kukaa bar peke yangu, sijui kwa nini
sijui ndo uasili au ushamba!:A S 39:Bado mwanamke wa asili
Mie kuna saa nataka nikae mwenyewe nipunge upepo weee
Nashangaa kwa nguvu tu
Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'
Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.
Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.
Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?
Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.
Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.
Namsubiri zombie twende dinner