Mpelekee yule dada bia . . .

Mpelekee yule dada bia . . .

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,226
Nashangaa kwa nguvu tu

Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'

Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.

Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.

Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?

Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.

Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.
 
Bora hata umeongea ndugu, sometime lijitu hulijui nawala hajui unatumia kinywaji gani unashangaa vinaletwa tu bila hata idhini yako.
Ebu ngoja wadau waje watuambie ni kwann?
 
Yaani
Na hivi nimehamia Tandale kwa Tumbo, wajiandae kuoshwa na maneno ya utumbo.

Inakera sana!

Bora hata umeongea ndugu, sometime lijitu hulijui nawala hajui unatumia kinywaji gani unashangaa vinaletwa tu bila hata idhini yako.
Ebu ngoja wadau waje watuambie ni kwann?
 
kukataa takrima ni ngumu ila vinavyofuata baada ya hiyo takrima ni big NO.CHAKUPEWA SI CHA KUOMBA MWENYE MALI NDIO MJINGA
 
Sasa bar umefuata nini kama wewe hunywi bia?bar hawauzi chai.bia ni gea tuu ya kukuingia ili utongozwe ukiikubali kitakachofuata unajua mwenyewe!ni sawa na unapotoa rushwa unasema chukua soda hiyo huku unatoa pesa
 
Nashangaa kwa nguvu tu

Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'

Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.

Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.

Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?

Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.

Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.
Bwana mkubwa Kongosho, hii inaonyesha ni jinsi gani wanaume wa Tanzania walivyo wakarimu. Naomba pia uwaombe wadada nao wawe na ukarimu unaofanana huu wa kutoa bila kusubiri kuombwa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sababu....moja muonekano wako na jinsi unavyowaangalia wanaume kama macho pye pye,uvaaji wako kama unatangaza bidhaa lazima watahisi umekuja kutafuta,maeneo menyewe wanaamini anayekuwepo pale atakuwa anaonja,wanataka utumie ili wakutumie.
 
Mie naona kupokea ni ku-abusi my inteligensi.

Bia moja haizidi elfu tano, kwa mwezi unaingiza sh.ngapi?

kukataa takrima ni ngumu ila vinavyofuata baada ya hiyo takrima ni big NO.CHAKUPEWA SI CHA KUOMBA MWENYE MALI NDIO MJINGA
 
Huwa sipend kabisa hizo mambo,na mwingine akishamtuma muhudum alete kinywaji nae baadae utamuona anajileta eti samahan aunt tunaweza kukaa wote? Sijui wanafikiri ulikotoka umekosa wa kwenda nae
 
Mmh, hata ivae baibui na sun gogoz, kupewa kinywaji inataka kuwa kama jadi.

Sababu....moja muonekano wako na jinsi unavyowaangalia wanaume kama macho pye pye,uvaaji wako kama unatangaza bidhaa lazima watahisi umekuja kutafuta,maeneo menyewe wanaamini anayekuwepo pale atakuwa anaonja.
 
Sasa bar umefuata nini kama wewe hunywi bia?bar hawauzi chai.bia ni gea tuu ya kukuingia ili utongozwe ukiikubali kitakachofuata unajua mwenyewe!ni sawa na unapotoa rushwa unasema chukua soda hiyo huku unatoa pesa

si kila muingia bar ni mnywaji wa bia.. Wengine hunywa softdrink na Bar hauzi bia tu.
 
Bora hata umeongea ndugu, sometime lijitu hulijui nawala hajui unatumia kinywaji gani unashangaa vinaletwa tu bila hata idhini yako.
Ebu ngoja wadau waje watuambie ni kwann?
ha ha haaaa, lol! ngoja nicheke kwanza. Kongosho, mimi nimejifunza kumwambia waiter pelekea yule kinywaji anachokunywa...
Obvious huwezi mwagizia mtu kinywaji cha kwanza, lazima atakuwa anakunywa then namwongezea.
Kuna siku tulienda sehemu tukakuta familia ipo, mume, mke, watoto.......
baba anakunywa bia, mama na watoto wanakunywa soda......
tukamwambia waiter awapelekee kinywaji.....
cha ajabu walibadilisha vinywaji, sijui ndo kukomoa au vipi.....
mama na watoto wakahamia kwenye bavaria........ nikajishangalia tu watoto WANAONJESHWA bavaria sababu ya offer, lol!
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa kwa nguvu tu

Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'

Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.

Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.

Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?

Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.

Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.

wanaume tuna moyo wa upendo katika kugawa bia kongosho hasa kwa wanawake hivyo usikasirike unapopewa offer pokea tu haina mbaya
 
sasa bar umefuata nini? mwenyewe tena.. na sura yako inakua imejaa njaa
 
ha ha haaaa, lol! ngoja nicheke kwanza. Kongosho, mimi nimejifunza kumwambia waiter pelekea yule kinywaji anachokunywa...
Obvious huwezi mwagizia mtu kinywaji cha kwanza, lazima atakuwa anakunywa then namwongezea.
Kuna siku tulienda sehemu tukakuta familia ipo, mume, mke, watoto.......
baba anakunywa bia, mama na watoto wanakunywa soda......
tukamwambia waiter awapelekee kinywaji.....
cha ajabu walibadilisha vinywaji, sijui ndo kukomoa au vipi.....
mama na watoto wakahamia kwenye bavaria........ nikajishangalia tu watoto WANAONJESHWA bavaria sababu ya offer, lol!

hahahaha! Full kukukomoa, ulikaa kipapaa zaidi nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom