hapo ulikua una kagua..kama kawaida yako
Atakuwa Bujibuji tu huyo kwani "vimbwanga" vyao same-same...
Naye atafanya ukaguzi eeehNapita akipitia
Na safari hii kampa mimba mama mkwe halafu anakimbia majukumu
Afanaaaaaleki!!!!
Nshakwambia..... Kwendraaaa!!!
Haahahaa, nitake radhi mpwa wangu, toka lini tinna cute wangu akawa kimbaumbau hivyo?!!!