Bado upo bed?Hakuna kipindi ambacho Chadema iko kwenye mshikamano na umoja wa hali ya juu kama sasa.
Mkuu usicheke maana tuendako nikilio kikubwa, me hadi sasa maji yamepungua mwilini kwa kulilia haki za mamilion ya watu kuporwaTeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu umenivunja mbavu zangu
Mwake mwake mkuu ujue hii ni ishara ya Wazalendo Na wapenda haki Siku zoteAisee mkuu kama tulipanga yaani hata mimi ndio nimegonga hiyo kitu,pamoja sana mkuu
MKUU fafanua kauli hii mnada ulifanyika wapi na tangazo lake lilitangazwa lini ,MPendazoe yupo sahihi cdm imekufa kitambo imeshapigwa mnada longtime na mbowe
Amiiinaaaa Amiiinaaaa Amiiinaaaa mkuuuMwake mwake mkuu ujue hii ni ishara ya Wazalendo Na wapenda haki Siku zote
Wewe ulipofukuzwa toka cdm ina maana ulikuwa ni mnywa viroba?mjiandae kuhojiwa na pccbYapasuke tu
Maana ipoipo tu
Kazi kutegemea wanywa Viroba kama nguzo yao
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, hiyo naona ndio msumari wa kufungia midomo yao mirefu hao lumumbaTumesha wazoea mlisema UKAWA ungekufa kabla ya uchaguzi wa october 2015.Lakini ndiyo umewatia kidole kwa nyuma hapo Dar.
Na ndio kwanza kinawafanya lumumba wasipate usingizi, maana kila kukicha ni kukimbizana kwenye vyombo vya habari kuomba kuombewa, chezea cdm !!!!!Lumumba wana haha kweli, walisema chadema kinakufa, wakasema slaa kaondoka na chama, wakasema hawawezi kushinda chaguzi za 2015, walisema zitto kaondoka chadema hakifai, wakasema cha kaskazini, wakasema cha kichaga. Leo huyu alieshindwa kujenga chama chake aje ampindue mbowe?! haya si maajabu ni upuuzi haufai hata kujadiliwa. Chadema hakipasuki zaidi ndio kimezidi kuwa imara.
Mkuu ukombozi upo karibu sana,kwani hata Mandela alikaa sana jela miaka 27 na mwisho wake akaja kuwa rais na kuwaongoza hao walio mtesa na kujiona kuwa wao ndio wenye nchiMkuu usicheke maana tuendako nikilio kikubwa, me hadi sasa maji yamepungua mwilini kwa kulilia haki za mamilion ya watu kuporwa
Muulize Mbatia na NCCR au Lipumba na CUF (Bara) utapata jibu kulikoni CHADEMA.Hakuna kipindi ambacho Chadema iko kwenye mshikamano na umoja wa hali ya juu kama sasa.
Acha ujinga Wa Lumumba wewe, km huaminiki kwenu ni wewe mpuuzi mkubwa
Lumumba wote uezo wao wa kufikiri na kuandika ni mdogo sana,ndio maana wanatumia hivyo vipeperushi
Wanaishabikia ccm 75% ni watu aheri ya jana kuliko leo,vinginevyo wanajificha kwenye koti hilo kwa nia hovuUkizungumzia uwezo tafakari mara mbili, kwanza tafakari 'uezo' wako wewe mwenyewe wa kuandika, pili jiulize je, kuna shule wanayosoma cdm peke yao na ccm peke yao? Kwa nini 'uezo' wa cdm uwe mkubwa kuliko wa Lumumba basi! Ushabiki mwingine ukija nao public unaweza kujishushia heshima pasipo we mwenyewe kufahamu
Wanaishabikia ccm 75% ni watu aheri ya jana kuliko leo,vinginevyo wanajificha kwenye koti hilo kwa nia hovu
Mmawia hivyo unasema ccm ni chama cha mafukara kama nimekupata uzuri. Kwa maana hiyo kwanza wewe si fukara na pia ni msomi na pia ccm ina uhakika bado wa kuwa chama imara kwani zaidi ya asilimia 80 ya watanzania ni mafukara.Nisahihishe kama sijakuelewa uzuri
Ptyuuuuuuu,siwezi kuwa ndugu na chumia tumboMmawia Mmawia mbona unakimbia mjadala, nduguyo nataka kueleweshwa nami nipate faida ya usomi wako na nijue mwenzangu umetokaje katika ufukara unaonitesa mimi, ningependa nami unimegee 'uezo' wako,nduguyo sina nia 'hovu' nawe
Labda uniambie CDM inatafuta Kick kupitia Mpendazoe.