Jibu hoja ya utaratibu ndani ya CCM.Ulikuwa unaota mpasuko wa sketi au underskate a.k.a shumizi.
Yaani membe ndio wa kuleta mpasuko CCM? Mtu pekee alijipanga na kusumbua CCM ni LOWASSA huyu hata mtikisiko hawezi sababisha. Huo ubobezi wa ukachero alikuwa nao akiwa kwenye system. Sasa hivi ni sawa na samaki nje ya maji anatapata tu hana lolote.
Na ile Jumatatu aliyoisema Membe, kuwa atatinga Dodoma, kwenda chukua fomu yake ya Urais ndiyo ishafika...........Sasa Kumekucha
Jogoo Limewika Dodoma
Jibu attached....Jibu hoja ya utaratibu ndani ya CCM.
Gett soberMembe anakwenda kuichana chana vipande CCM, kama ambavyo Magufuli alivyoichana chana Katiba.
Na ile Jumatatu aliyoisema Membe, kuwa atatinga Dodoma, kwenda chukua fomu yake ya Urais ndiyo ishafika...........
Ngoja tusubiri tuone kama Dkt Bashiru, kama tulivyowazoea mbinu zao, watatia komeo geti kuu la kuingilia, tena ndani ya ulinzi mkali!
Jidu La MabambasiJibu hoja ya utaratibu ndani ya CCM.
Poleni sana, huyo teja ni wewe?Gett sober View attachment 1485598
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha.............
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri
Jibu hoja ya utaratibu ndani ya CCM.
Ni kwanini swala la Membe halikufika katika kikao cha Halmashauri kuu ya chama?Ulikuwa unaota mpasuko wa sketi au underskate a.k.a shumizi.
Yaani membe ndio wa kuleta mpasuko CCM? Mtu pekee alijipanga na kusumbua CCM ni LOWASSA huyu hata mtikisiko hawezi sababisha. Huo ubobezi wa ukachero alikuwa nao akiwa kwenye system. Sasa hivi ni sawa na samaki nje ya maji anatapata tu hana lolote.
Obama: Gaddafi death is warning to iron-fist rulers.Membe hana madhara yoyote ndani ya chama.
Hii tabia itatugharimu.Mbobezi hakuweza kuzuia???
Mijitu yenye gubu bana