CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,480
Hakuna ubishi kwamba chadema ndio chama kikuu cha upinzani angalau kwa sasa nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na cuf ambao nao waliirithi kutoka kwa NCCR-MAGEUZI ile ya Mrema na Marando ambae kwa sasa yuko chadema huku Mrema yeye akiwa na chama "chake" siku hizi.
Lakini katika hali ya kusikitisha taarifa kutoka chanzo cha kuaminika(mshauri mkuu wa chadema)zinaeleza kwamba ndani ya chedema kuna mpasuka mkubwa kuhusu nani anapswa kuandaliwa kugombea urai kati ya mwenyekiti mbowe na katibu dr slaa.Ama hakika hii si habari njema sana kwa wapenda demokrasia na mabadiliko kiujumla.
Ushauri wangu ili kunusuru hali hii ya mpasuko isizidi kusambaa,Mbowe na slaa wake pembeni,hii itawavunja nguvu wapambe wao,watakuwa hawana tena kinachowatofautisha na pia itwapa muda mzuri mwenyekiti na katibu wake kushiriki mchakato huru wa kuitafutia chadema mgombea akaekidhi matarajio ya chama hicho ambayo siamini kama ni just kuwwa chama kikuu cha upinzani tu.
Mi naanza kuonyesha njia,majina haya sita kati yao anaweza kuipeperusha vyema bendera ya chadema kwenye urais.
1:Kitila Mkumbo(dr)
2:Zitto Kabwe
3:Halima Mdee
4:Abdallah Safari(prof)
5:Godbless Lema
6:Tundu Lisu
Nawasilisha.
Mkuu usinikumbushe NCCR Mageuzi, kilichotokea Tanga sitakisahau. Muulizeni Anthony Komu, Joseph Selasini na Mabere Marando.Aiseee! hapo kwenye red mkuu, tofauti huleta migogoro na mipasuko katika chama vitu ambavyo mwisho wa siku na yaliyoikumba NCCR Mageuzi na wengine.
Unajua hakuna kitu kibaya kama kufanya vitu kutoka ndotoni, huyu bwana mie huwa nasoma tu mada zake huwa sichangii sababu huwa zinakuwa chini juu, ila hapa napenda awe anajipanga kidogo kwa kulazimisha migogoro sehemu yenye amani ni mbaya sana!!!!
Hakuna ubishi kwamba chadema ndio chama kikuu cha upinzani angalau kwa sasa nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na cuf ambao nao waliirithi kutoka kwa NCCR-MAGEUZI ile ya Mrema na Marando ambae kwa sasa yuko chadema huku Mrema yeye akiwa na chama "chake" siku hizi.
Lakini katika hali ya kusikitisha taarifa kutoka chanzo cha kuaminika(mshauri mkuu wa chadema)zinaeleza kwamba ndani ya chedema kuna mpasuka mkubwa kuhusu nani anapswa kuandaliwa kugombea urai kati ya mwenyekiti mbowe na katibu dr slaa.Ama hakika hii si habari njema sana kwa wapenda demokrasia na mabadiliko kiujumla.
Ushauri wangu ili kunusuru hali hii ya mpasuko isizidi kusambaa,Mbowe na slaa wake pembeni,hii itawavunja nguvu wapambe wao,watakuwa hawana tena kinachowatofautisha na pia itwapa muda mzuri mwenyekiti na katibu wake kushiriki mchakato huru wa kuitafutia chadema mgombea akaekidhi matarajio ya chama hicho ambayo siamini kama ni just kuwwa chama kikuu cha upinzani tu.
Mi naanza kuonyesha njia,majina haya sita kati yao anaweza kuipeperusha vyema bendera ya chadema kwenye urais.
1:Kitila Mkumbo(dr)
2:Zitto Kabwe
3:Halima Mdee
4:Abdallah Safari(prof)
5:Godbless Lema
6:Tundu Lisu
Nawasilisha.
Aiseee! hapo kwenye red mkuu, tofauti huleta migogoro na mipasuko katika chama vitu ambavyo mwisho wa siku na yaliyoikumba NCCR Mageuzi na wengine.
Hii ni moja kati ya thread mavi nilizosoma siku ya leo.
siasa inataka watu kama yeye mkuu,anao uwezo kushawishi jamaa.
Jaribu kumfuatilia hapa JF ndio utafahamu upeo wake! unaweza hata ukaquestion udr wake!
Kwenye nyekundu hapo, ni mzigo kwa chama hivi sasa. Wakazi wa Arusha wanajuuuta kumchagua. matukio ya uharibifu yamezidi jijini hapa, Watalii wengi hivi sasa hawaendi tena kuhofia usalama wao na sasa wengi wanakwenga mikoa ya morogoro, kigoma na kwingine. Watu wenye busara zao jijini Arusha tunaona kama tumevuliwa nguo kutokana na watu wote wa jiji hili kuonekana kama ni wahuni tu. Ni zaidi ya mwaka mmoja tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu, lakini muda wote huo Mbunge huyo amekuwa akilumbana tu na Meya wa JIJI bila sababu yoyote ya msingi. Hakuna ambalo vijana wamekwishalipata pamoja na kwamba ndiyo waliompa umaarufu huo.
Tatizo wana CHADEMA walio wengi bado wanabeza kuwepo kwa mpasuko huo, afadhali wewe KIM KARDASH umekubali ukweli na kutoa mapendekezo yako. Kama ulivyosema, tumezoea kuona vyama vya upinzani vikiibuka na kuzama kila kunapokucha na mifano mizuri ni hiyo uliyoitoa. Tofauti hizo zinazoleta mpasuko zisipo rekebishwa mapema hii CDM nayo itabaki historia kama ilivyokuwa NCCR Mageuzi ya Mrema.
Hii kitu mbona iko hapa muda mrefu mpaka slaa mwenyewe tulikua nae akiichungulia nyie mko wapi,sio siri tena hii,amkeni usingizini,yamewakuta safari hii,tunajaribu kuwasaidia.
Hii ni moja kati ya thread mavi nilizosoma siku ya leo.