Mpare mmoja anaishi karibu na Benki

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Kuna Mpare mmoja anaishi karibu na Benki, baada ya kushawishiwa kwa
muda mrefu na ndugu na marafiki zake aweke pesa Benki kwa usalama wa
pesa zake, kwa taabu sana akakubali kuweka pesa Benki. Kuanzia siku
hiyo alizoweka hizo pesa, usiku kucha anakesha dirishani na filimbi
mdomoni, kila akipita mtu karibu na hiyo Benki, Mpare wa watu anapiga
filimbi kuwaamsha walinzi piii... piiiii....! Wote woga anaogopa,
asije mtu akaiba pesa zake....!
 
Demu yeyote akiuliza kabila,ukisema wewe ni mpare,humpati anajua hutampa bumu la kueleweka!
 
Kuna Mpare mmoja anaishi karibu na Benki, baada ya kushawishiwa kwa
muda mrefu na ndugu na marafiki zake aweke pesa Benki kwa usalama wa
pesa zake, kwa taabu sana akakubali kuweka pesa Benki. Kuanzia siku
hiyo alizoweka hizo pesa, usiku kucha anakesha dirishani na filimbi
mdomoni, kila akipita mtu karibu na hiyo Benki, Mpare wa watu anapiga
filimbi kuwaamsha walinzi piii... piiiii....! Wote woga anaogopa,
asije mtu akaiba pesa zake....!
Basi huyo Mpare aliktwa refaree.so kila alie jaribu kuotea zile hela alipuliz kipemga
 
Back
Top Bottom