Mpango wa new world order

Mpango wa new world order

Haya mambo ya duia hii bwana waliyoyapanga wote washakufa na kuyaacha na sisi tutakufa tutayaacha as long as hakuna anayeishi milele... sasa yanini kujochosha!

Kila mtu aangalie maisha yake bana! Tusitishane
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni Mipango Ya Karne Nyingi Ila Wameanza Zamani Sana Na Bado Wanaendelea Na Mpango Wa Ulimwengu Mpya. Wataikamilisha Karne Nyingi Zijazo
Huwa mnaharibu hapo kwenye kusema wataikamilisha karne nyingi zijazo, wanatekeleza na kufanikisha mipango yao kila siku na sio kusubiri muda huo hata sasa wanamipango wameshaitekeleza... Hivyo ni mfumo ambao upo unafanya kazi na unafanikisha kazi zake... au huwa tunafanya online payment kwa pesa gani kwa kiasi kikubwa..? Almost tunatumia currency moja.. Je hatuongei lugha moja kuhusu haki za kibinadamu duniani..?? Na anayeenda kinyume tunamtizama kwa jicho la hasira...
 
Hii ipo kwenye ukurasa wa ngapi wa hicho kitabu?
Nimejaribu kutafuta vaccine, 5G kwa hicho kitabu, sijaona kabisa.
Au hayo maandishi hayapo kwenye hicho kitabu?
Mimi pia imenibidi kukitafuta, sijaona vaccine wala 5G.
 
Pamoja na Purukushani zote hizi at the end we are all gonna die! Na ukitaka kupoteza muda wako na kujirudisha nyuma kimaendeleo basi anza kufuatilia hizi hadithi na NWO na mambo sijui ya 666
 
Mashetani yana njia nyingi za kutisha watu...
.
FB_IMG_1627589397213.jpg
 
Back
Top Bottom