Mpango wa new world order

Mpango wa new world order

Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba yule joka alishafunguliwa na anaitawala Dunia,Biblia imeweka wazi kuwa siku za mwisho upendo utapoa ndugu watasalitiana na kuuana.Sikiliza vyombo vya Habari kila siku habari ni mauaji tu Tena ya wapenzi ndugu marafiki watoto nk.Dunia inamwaga damu kila siku.Mfumo wa maisha umebadilishwa kula Jicho ni Jambo la kawaida Sasa tumeanza kuzoea na kupokea na kulasimisha rasmi ushoga na usagaji,kamali ndio mfumo wa maisha kwa Sasa Kama hautazini na shoga basi utamfanya mkeo ni vurugu tupu Mwana wa kiume kauza haki zake kwa mwanamke na mwanamke kwa Sasa nae kichwa kwa maamuzi yote ya Dunia.Kwa ufupi usiku tufanye toba asubuhi tufanye toba.Kama unasubiri 666 basi utakuwa umechelewa maana hiyo no ni mamlaka na ndio yanayofanga kazi.Tutende wema.Ni mawazo yangu tu.
well said mkuu
 
Katika maono yangu niliona kuna matukio ya kuogofya katika anga kabla ya kuanza vurugu na mateso, nafikiri haya mambo ya UFO itakuwa ni maandalizi ya kuanza hizi ishu. Inaonekana hao UFO ndo mawakala wa ibilisi watakaokuja kutekeleza huo mpango wa NWO
Mmmmh..!!
 
Hii kitu siyo ya jana wa juzi long as hujazaliwa au kuzaliwa huu mfumo unafanya kazi mujarabu na kwa hatua nzuri tu.

Mfano leo unasajiliwa line zako kwa vidole vyako hii inakupa picha gani?

Hao jamaa wanafanya majumuisho yao katika hali ya kipekee sana na hakuna atakayetoka !.
Mkuu wapo watakaotoka sema kwa mujibu wa maandiko watakuwa wachache.
 
Nelewa mada ila majibu yako ndiyo siyaelewi ...!!
Ni watu wachache sana wanakaa mkao wa kuelewa, fuatilia maandiko utagundua asilimia kubwa walikuwa wanaangamia pamoja na kupewa maonyo ya kinabii
 
Hiki kitabu nilipost hapa 2019 before corona kupamba moto
IMG-20210807-WA0023.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom