Mpango wa MUNGU uliuofeli kabla ya kuanza

Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe la pembeni. Na kila atakayejikwaa katika hilo jiwe atasagika tikitiki!!
 
Huu utenzi wako mbona unajikanganya?Huoni kuna contradiction kwenye sentensi hii moja uloandoka, hivi ukiandaa kurasa 3 itakuwaje?Mi nadhani wewe imani yako ni haba ndo maana unaweweseka.

 
Mungu yupi hata wewe waweza kumtaja?
 

We we Una akili kweli?
Unajua kuwa biblia inasema Mungu hadhihakiwi?

Sasa unashindwa kuandija bila kumusisha Mungu?
Uliona wapi Mungu kafeli?.

Tena,ukatubu,bure kabisa ww
 
Toka umekimbia BAVICHA / CDM uwezo wako wa kujenga hoja umepungua kama thamani ya shilingi; sasa sijui ukipewa huo ubunge wa kitu (utamu) maalum utaongea nini bungeni!
 
Naomba mtupie kapicha ka huyu Shonza, hivi huyu si ni kabira,moja na Act.
 
Kiukweli tulikuwa tunaidharau jf, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya, yamesaidia saidia, huwezi jua!. Zamani nilikuwa napitia mabandiko yako kwa dharau na kujibu kwa kejeli, lakini baada ya uteuzi, sasa napitia mabandiko yako yote kwa makini zaidi, heshima na adabu haswa kwa kuzingatia wewe sasa ndio bosi wangu kwenye tasnia ya habari.

Karibu Boss, Mheshimiwa saba, Bi Juliana Shonza.

Paskali.
 
Dah kisa unaibu waziri na ubunge wa kuteuliwa... Usidhani wewe ni bora kuliko Nape Membe wala Kinana.... Usijichimbie kaburi binti.... Kesho IPO na unabii haujatimia.. Tutakumbushana muda ukifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…