Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,929
- 6,030
Kwa nini?🤣🤣 haiwezi kua kweli mkuu
Kwa nini?🤣🤣 haiwezi kua kweli mkuu
FUngua macho mkuuKwa nini?
Safari hi kikinuka na Iran ujuwe ndio bye bye taifa teule la wavuta bangi wakanisani
Nipe sababu na mimi nitakupa kwa nini nimesema hakuna!!! Hiyo haihitaji kufungua macho!!!FUngua macho mkuu
Ndoto za Mwendawazimu hizo!!!Safari hi kikinuka na Iran ujuwe ndio bye bye taifa teule la wavuta bangi wakanisani
Naam huu mwenendo utakuja kuwacostSafari hi kikinuka na Iran ujuwe ndio bye bye taifa teule la wavuta bangi wakanisani
Kama uliweza sema "hakuna mkristo yeyote asiyeiunga mkono israel"Nipe sababu na mimi nitakupa kwa nini nimesema hakuna!!! Hiyo haihitaji kufungua macho!!!
Hiyo inaonyesha wazi hakuna!!Kama uliweza sema "hakuna mkristo yeyote asiyeiunga mkono israel"
Mimi sina la zaidi la kukwambia zaidi ya --- " fungua macho mkuu"
Sasa kama hata kufungua macho hutaki --- unataka nikupe miujiza ?🤣🤣🤣 kwa bahati mbaya mimi na miujiza ni mbali na mbali mkuu.Hiyo inaonyesha wazi hakuna!!
Utasubiri sana!!Sasa kama hata kufungua macho hutaki --- unataka nikupe miujiza ?🤣🤣🤣 kwa bahati mbaya mimi na miujiza ni mbali na mbali mkuu.
Muda utaongea 😁
Waarabu hawa hawa ambao hawajafanya lolote kuwasaidia Gaza?Mwambieni ana ota ndoto asifikirie viongozi wa kiarabu ni sawa sawa na wananchi ikiwa Gaza leo miaka miwili na hakuna alicho fanikiwa.
Kitu gani kafanikiwa ?
Zaidi yakuwauwa watoto na wanawake na kuzuia chakula pamoja na kuvunja majumba, hospital, mashule n.k. Hio greater Israel ni kama ile ndoto yenu ya Wakristo na Wayahudi kwenye pepo.
Hapo Qur'an ilisha sema mnaota hiyo ndoto ya kwenda peponi Wayahudi na Wakristo.
وَقَالُوا۟ لَن يَدْخُلَ ٱلْجَنَّةَ إِلَّا مَن كَانَ هُودًا أَوْ نَصَـٰرَىٰ ۗ تِلْكَ أَمَانِيُّهُمْ ۗ قُلْ هَاتُوا۟ بُرْهَـٰنَكُمْ إِن كُنتُمْ صَـٰدِقِينَ ١١١
The Jews and Christians each claim that none will enter Paradise except those of their own faith. These are their desires. Reply, ˹O Prophet,˺ “Show ˹me˺ your proof if what you say is true.”
Mara ya kwanza msafisha vyoo Tela Aviv kaongea ukweli.Hiyo inaonyesha wazi hakuna!!