Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari.
Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili ya:
1. Kuwasilisha kwa taasisi za kifedha ili kupata mkopo au ufadhili.
2. Kuvutia wawekezaji na wadau wa elimu.
3. Kuendesha shule yako kwa ufanisi na ushindani.
Ikiwa unahitaji mpango huu, tafadhali wasiliana nasi:
Mawasiliano:
WhatsApp: 0612607426 / +255 612 607 426
Email:
bandg.editors@gmail.com