Mpango uliovuruga mbwembwe za EX-Girlfriend

Hata andika yako tu nauhakika una hela tatizo sisi tusio na hela badala ya kujifunza tunaleta wivu
 
Mambo ya kishamba sana...ingelikua mimi ningekausha tu kama unaenda sehemu peke yako unaenda peke yako..mambo sijui kushindana na mwanamke unawaachia wanawake...
Ushamba ni subjective term, kila mtu ana aina ya mambo ambayo kwa wengine ni ushamba.
 
Mwenye huu uzi kwa akili aliyonayo sijui ilikuwaje akawa mjumbe wa kamati muhimu hivi.
 
Huo mda mnapata wap wapi? Au harusi ilikua haina pombee?? Unaacha kudeal na pombe unahangaika na wanawake??
 
Kwanini unataka kushindana na mwanamke kwa vitu vya kipuuzi km hivi....
 
Utakuwa ccm tu wewe
 
Utakuwa ccm tu wewe
Wala mimi sio CCM. Ni independent voter. Japo kiukweli ningependa upinzani uongoze Tz. Nchi yetu imeongozwa na CCM miaka takribani 60 sasa lakini hali kwa wengi bado ni mbaya sana. Ingekuwa vema kuona CDM wanashikilia nchi nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…