Mkuu hicho ndicho kimesababisha nilete hii mada hapa, yule binti pamoja na mitihani huwa anani sms kuniomba nisiwatimue wazazi wake... huwa nampa moyo kwamba binti endelea na mitihani yako tu usijali siwezi kufanya hivyo - yaani haya maisha jamani laaahSubiri kwanza huyo binti wa form 4 amalize mitihani alafu nitakuambia cha kufanya.
kweli ni hela nyingi ila kama ni watu wazuri wanaweza kukulipa hata nusu ya 7.2m, ongea nao tu ikishindikana basi waondoke, Una moyo wa kipekee mkuu my landlord akizidisha muda ni miezi 3 tu. for real they're very lucky to got a house like your’s and got a landlord like you, I wish I'll be your tenant.kaka pango ni Sh 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 3,600,000 kwa miaka miwili ni 7.2m. ni hela nyingi sana wakuu.
Umeninukuu vibaya ujinga ninaomaanisha unapewa nafasi lakin huitumii unaambiwa soma utaki unaambiwa fanya kazi kwa bidii ufanyi onaona maisha yamebadilika kwann usiame ukatafuta sehemu au nyumba ya bei rahisiMtu kukosa ni ujinga?
na bado una ujasiri wa kuandika hivyo.Unasema ajanichapa hivi unanijua kweli. ha Ha Ha Ha Ha . Utaniambia kipi katika maisha ya raha na shida hasa hapa bongo na hata nje ya mipaka ya bongo
Kaka kwenye majumba yetu humo kuna siri nzito sana...najua watakuwa wanasoma uzi wangu ila kwa kuwa sijawataja na sehemu wanafanyia kazi fresh tu - watakavyofikiria mi sijali.Maisha Haya?? Duuh hatar tupu
Kipindi hiki ukifukuza jiandae kufugia kuku chumba.Mkuu siku hizi kupata mpangaji ni ngumu kuliko kudai kodi kwa mpangaji aliyopo.Kimbiza kila mtu ana hali ngumu kama ungekuwa ww wasingekuacha na kama mm zamani nimeshakimbiza mm ukipitiliza mwezi mmoja bila taharifa ujiandae
kaka wale wameajiliwa.....sasa sijui kuna nini kimetokea kwenye hii familia kwa kweli sijui kabisa....Binti anamaliza shule ndiyo nasubiri akimaliza tu niwashe moto maana huwa anani text kuniomba nisiwatimue wazazi wake na wadogo zake...yaani ni kama binti anajivika majukumu ya kifamilia akiwa bado mdogo....inatia huruma sana... ila wataondoka tu.Kama una vacancy muajiri huyo mama/baba au hata huyo binti anaemaliza mitihani wiki hii
kaka ni nyumba ya vyumba 3, ipo vizuri sana siwezi kosa mtu wa kukaa kwa hiyo hela.Kipindi hiki ukifukuza jiandae kufugia kuku chumba.Mkuu siku hizi kupata mpangaji ni ngumu kuliko kudai kodi kwa mpangaji aliyopo.
Yah kwa sababu najiamini na mpaka leo na chezea keypad za simu na kuandikia na wewe mkuu usiwachukulie watu poa Poa maisha turiyopitia ndio yanatupa ujasirina bado una ujasiri wa kuandika hivyo.
nyie wana JF mna huruma sana, hivi ingekuwa ni yenu mngeamua hivyo mnavyotaka mimi nifanye?kuwa na huruma wavumilie ndg.pls pls pls.
Mkuu fukuza utakuja kunipa mrejesho.Kuna muda mpaka unahisi mpangaji aliyeondoka kairoga nyumba yako.kaka ni nyumba ya vyumba 3, ipo vizuri sana siwezi kosa mtu wa kukaa kwa hiyo hela.
Kama yalishakukuta unasemaje amtimue mkuu.Yah kwa sababu najiamini na mpaka leo na chezea keypad za simu na kuandikia na wewe mkuu usiwachukulie watu poa Poa maisha turiyopitia ndio yanatupa ujasiri
Hamna mkuu wameshampanga pia achana nae huyo binti wanaweza kukutengezea kesi kama amefanya hivyo atashindwa vipi kutengezea kesi ya mimba au kubaka au kuwagombanisha na shemeji. Mjomba mipango hiyo yote mama ake ndie anamtengeneza huyo bintikaka wale wameajiliwa.....sasa sijui kuna nini kimetokea kwenye hii familia kwa kweli sijui kabisa....Binti anamaliza shule ndiyo nasubiri akimaliza tu niwashe moto maana huwa anani text kuniomba nisiwatimue wazazi wake na wadogo zake...yaani ni kama binti anajivika majukumu ya kifamilia akiwa bado mdogo....inatia huruma sana... ila wataondoka tu.