Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,814
- 40,572
Amna bhana. Kitu kama icho kwann kila ujinga au uzembe wa mwanadamu mnamshirikisha mungu
.hali ngumu eeeeh okay basi warudi kijjin kama awataki wakaishi makaburin au stend za mabasini kweli kodi ni haki yake lakini kuna kukwama mkuu hali ni ngumu
kaka umesema maneno magumu mno, ila kumbuka nimewavumila mno mwaka wa pili sasa jamani...kweli? yaani hela ya kodi miaka miwiliNa Mimi na wengine humu wenye moyo wa huruma tunaomba uwavumilie,ukiona mkewe amefikia huko ujue 'no more option',wavumilie Mungu atakuepushia vitu ambavyo vingekugharimu pesa kubwa kuliko hiyo,na usifanye kitu kwa mkewe au mtoto wake hata wajipendekeze,najua wapo katika wakati mgumu sana..ASANTE KWA NIABA YAO.
Umeona eeeeh awatimue tu wapangajji pasua kichwa sanasasa kama wanafanyakazi na wanalipwa iwaje watake kukaa bure?? wameifanya hiyo nyumba ya kanisa au, bora wangekuja hata na hela ya mwezi mmoja mmoja, hao watimue. binti wa form four akimaliza pepa watimue watafute pa kwenda
Umenena vyema ila hapo ni swala la kuchagua tu kati ya ubinadamu na haki. Penda kutoa kuliko Kupokea, Haya Maisha hata ufanikiwe kiasi gani ila huwezi tosheka.Usikalili maisha mkuu jambo lake la kodi ni haki yake na halina mahusiano na kesho yake
Mjomba asikushike akili huyo kama anayo huruma kweli kweli basi mwambie vitu viwili awachukue aishi nao au awatafutie nyumba nyingine. Kama awezi basi mwambie awalipie hata nusu yake. Kama awezi huyo muongo tu chukua maamuzi kimbiza ukienda wanajiliza ukigeuza kisogo wanakung'ong'a na kukushusha wanausemi wao wanasemega ananjaa tukaka umesema maneno yanagusa mno, ial kumbuka nimewavumila mno mwaka wa pili sasa jamani...kweli? hela ya kodi miaka miwili
kaka pango ni Sh 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 3,600,000 kwa miaka miwili ni 7.2m. ni hela nyingi sana wakuu.mkuu kodi unayowadai imefika kiasi gani?
basi ongea nao binti akimaliza form 4 wakupe hata ya mwaka mmoja ili muanze mkataba upyakaka umesema maneno magumu mno, ila kumbuka nimewavumila mno mwaka wa pili sasa jamani...kweli? yaani hela ya kodi miaka miwili
Unasema ajanichapa hivi unanijua kweli. ha Ha Ha Ha Ha . Utaniambia kipi katika maisha ya raha na shida hasa hapa bongo na hata nje ya mipaka ya bongoUzembe....?
Mkuu wewe bado hayajakuchapa walahi.
yaani kaka eti kulia ndiyo style yao...siwezi aisee!!Umeona eeeeh awatimue tu wapangajji pasua kichwa sana
Mtu kukosa ni ujinga?Amna bhana. Kitu kama icho kwann kila ujinga au uzembe wa mwanadamu mnamshirikisha mungu
afu kaka wote wanafanya ofice moja..... laaahKama chama flan watoe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli wewe ni FUSO! umewabeba wapangaji wako ukaja kuwamwaga jukwaa la siasa!!
Timua hao watukaka pango ni Sh 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 3,600,000 kwa miaka miwili ni 7.2m. ni hela nyingi sana wakuu.
Kimbiza bro wapangaji sio wakuwachekia na usiwaonee huruma mm ninao huku sasa hivi heshimayaani kaka eti kulia ndiyo style yao...siwezi aisee!!