Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

vipi zikiwa za rangi ya pink na nyeupe na vileselesi hivi unakuwa na haligani ndugu
 
Kweli aisee na mimi nimepita hapo nje kwenu sasa hivi nimeona kaanika.

428255_10151343110867829_1360268432_n.jpg
hii aina haja ata ya kumvua, unagegeda bila kuitoa
[emoji23]
 
Habari wana MMU.

Mimi nimepanga nyumba moja,zamani tuliokuwa tunaishi wote wanaume,sa hivi karibuni kahamia mdada hapa yaani anaanika chupi zake nje?? Kwa siku anabadili Mara mbili dah yaani mie napotoka nje navyoona zile chupi kwenye kamba!! Ki ukweli nateseka kweli kweli yaani nawaza kumgegeda tu!! Na mie navyoishi mbali na Mke yaani nateseka muda mwingine hata usiku silali nawaza kumgegeda tu!!? Jamani wadada msiwe mnaanika chupi zenu nje mnatutesa wengine...... Muhanga namba moja ni mimi!? Nikionaga chupi tu ya mwanamke hili lifanyio langu linapata shida kweli kweli.....
Sasa wewe una mke kweli au mchumba? na kingine wewe nahisi una nyota ya BEBERU
 
Habari wana MMU.

Mimi nimepanga nyumba moja,zamani tuliokuwa tunaishi wote wanaume,sa hivi karibuni kahamia mdada hapa yaani anaanika chupi zake nje?? Kwa siku anabadili Mara mbili dah yaani mie napotoka nje navyoona zile chupi kwenye kamba!! Ki ukweli nateseka kweli kweli yaani nawaza kumgegeda tu!! Na mie navyoishi mbali na Mke yaani nateseka muda mwingine hata usiku silali nawaza kumgegeda tu!!? Jamani wadada msiwe mnaanika chupi zenu nje mnatutesa wengine...... Muhanga namba moja ni mimi!? Nikionaga chupi tu ya mwanamke hili lifanyio langu linapata shida kweli kweli.....
hizo nyege ulizonazo ni grade A mkuu, yaani ukiona chupi imeanikwa mzee anadinda?
 
Nenda dukani ununue dozen ya vyupi, size tofauti ..ndogo, medium, na size kubwa za jimama..uzitundike chumbani uwe unaziangalia hadi uzoee..ukitoka ukikutana na hizo za jirani hazitakupa taabu
 
Wanaume wa bara mnakera. Chupi shurti ianikwe nje ipigwe jua. Wewe kama mkeo anaziwekaga chini ya godoro ndio maana fungus hazimwishi
 
Habari wana MMU.

Mimi nimepanga nyumba moja, zamani tuliokuwa tunaishi wote wanaume, sahivi karibuni kahamia mdada hapa yaani anaanika chupi zake nje? Kwa siku anabadili Mara mbili dah yaani mie napotoka nje navyoona zile chupi kwenye kamba ki ukweli nateseka kweli kweli yaani nawaza kumgegeda tu na mie navyoishi mbali na mke yaani nateseka muda mwingine hata usiku silali nawaza kumgegeda. Jamani wadada msiwe mnaanika chupi zenu nje mnatutesa wengine. Muhanga namba moja ni mimi? Nikionaga chupi tu ya mwanamke hili lifanyio langu linapata shida kweli kweli.
Jaribu kuingea na ma bank wakuazime pesa ujenge nyumba yako laasivyo naiona njia yako ya kuelekea Segerea kwa ubakaji
 
Zamani ilikuwa shida sana kuona nguo ya ndani ya mwanamke.Wakina mama walizificha kama kitu cha siri sana ila siku hizi ukipanda kwenye daladala yenye wanawake 10 jiandae kuhesabu rangi za chupi. Huyu amevaa bikini nekundu iko kiunoni huyu keusi tabu tu. Heshima ya hilo vazi imepungua sana. Tena afadhali kwa akina dada asilimia kubwa ni wasafi lakini akina kaka mwee mwee mwee utamkuta lichupi sijui likaptula sijui libukta halijafuliwa miezi chafuuuu!

Kiufupi chupi ikiwa imefuliwa na kuanikwa nje huku mjini ni jambo la kawaida. Tena kiafya inatakiwa ianikwe juani ikauke vizuri sio kuzificha huko bafuni zipate ukungu. Suala la kutamani ukiona chupi hilo ni tatizo binafsi.

Mwisho chupi ikishavaliwa basi hakikisha imekaa vizuri tena kwa staha unaiacha nje kwa faida ya nani?
 
Dah mm kuna dada naishi nae huwa namwanulia kama kuna mvua...hata mm zinakuja akili kama zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom