Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

bora huyo kuna dada huku kwetu akifua chupi zake siku hiyo basi wewe usifue

anajaza kamba zote kama anaziuza kumbe zote zake
Ningekuwa natembea
1494495403486.jpg
 
Kwa uswazi ni vitu vya kawaida mkuu..Mi jirani yangu uwa namuanulia kabisa vifuniko vyake kama mvua inanyesha..Akirudi anazifwata au nampelekea
Una A ya uvumilivu Boss....
 
tena kuna rangi zinazoongeza mzuka..kama white,pink,cream....yani hizo ukiziona picha tayari unayo kichwani..tena ukiwaza haka kachupi mwenyewe alivyoumbika unatamani tu...
 
mi sijawahi kuanika chupi ndani kwa miaka zaid ya 20sasa siwezi kabisa jumamosi huwa nazifua na kuzianika nje mubashara na nyumba yetu wapo wanaume wako nyumba nzima kama 7 mwanamke ni mie na mke wa jirani yangu mie peke yangu naanika nje na wala huwa sijawahi kuona wat huko mtaani wakianika nje

ila kuna matatizo makubwa sana yanapatikana kwa kuanika nguo hizi ndani ..............


na wamama wengi hawajui vyanzo vya papuche zao kuwa gonjwagonjwa kila mara .......na kuwa na mi harufu ya wolpish kila wakati my friend vyupi vinafaa kukaukavizuri na ikibidi kupigwa pasi i mean kunyooshwa kwa kupasiwa

my take muache kuzificha ndani kwakuwa zina maukoko katikati ama mnaona ajabu mimi akili yangu imawaza kuwa ukiwa hujavaa chupi ndo inabidi wat wakushangae ..... na hakuna asiyejua kuwa lazima chupi ivwaliwe i mean hata akikuona umevaa jeanz anajua na chupi imo kinachokusababisha ushangae kuiona imeanikwa ni kitu gani?

itashangaza pale itakapokuwa kwenye kamba, ikiwa na hali mbya ya uchafu katikati na matundu, matobo, na mabalaa ya kila aina hapo naificha kabsaa lakini kama imepauka tu akaa nje ipigwe na jua ... kipindi hiki cha mvua nateseka sana kwakweli nazipasi kabisa
 
Na wewe anika za kwako nje uanze kumtesa. Akishaziona tu atawaza kugegedwa na wewe.



Habari wana MMU.

Mimi nimepanga nyumba moja,zamani tuliokuwa tunaishi wote wanaume,sa hivi karibuni kahamia mdada hapa yaani anaanika chupi zake nje?? Kwa siku anabadili Mara mbili dah yaani mie napotoka nje navyoona zile chupi kwenye kamba!! Ki ukweli nateseka kweli kweli yaani nawaza kumgegeda tu!! Na mie navyoishi mbali na Mke yaani nateseka muda mwingine hata usiku silali nawaza kumgegeda tu!!? Jamani wadada msiwe mnaanika chupi zenu nje mnatutesa wengine...... Muhanga namba moja ni mimi!? Nikionaga chupi tu ya mwanamke hili lifanyio langu linapata shida kweli kweli.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom