mkuu nakupenda bure kabisaaaaaaaaaaami sijawahi kuanika chupi ndani kwa miaka zaid ya 20sasa siwezi kabisa jumamosi huwa nazifua na kuzianika nje mubashara na nyumba yetu wapo wanaume wako nyumba nzima kama 7 mwanamke ni mie na mke wa jirani yangu mie peke yangu naanika nje na wala huwa sijawahi kuona wat huko mtaani wakianika nje
ila kuna matatizo makubwa sana yanapatikana kwa kuanika nguo hizi ndani ..............
na wamama wengi hawajui vyanzo vya papuche zao kuwa gonjwagonjwa kila mara .......na kuwa na mi harufu ya wolpish kila wakati my friend vyupi vinafaa kukaukavizuri na ikibidi kupigwa pasi i mean kunyooshwa kwa kupasiwa
my take muache kuzificha ndani kwakuwa zina maukoko katikati ama mnaona ajabu mimi akili yangu imawaza kuwa ukiwa hujavaa chupi ndo inabidi wat wakushangae ..... na hakuna asiyejua kuwa lazima chupi ivwaliwe i mean hata akikuona umevaa jeanz anajua na chupi imo kinachokusababisha ushangae kuiona imeanikwa ni kitu gani?
itashangaza pale itakapokuwa kwenye kamba, ikiwa na hali mbya ya uchafu katikati na matundu, matobo, na mabalaa ya kila aina hapo naificha kabsaa lakini kama imepauka tu akaa nje ipigwe na jua ... kipindi hiki cha mvua nateseka sana kwakweli nazipasi kabisa
ahahaTanzania ya vi-wonder katik ubora wake…!!
haaaa haaaa sikuombi ushaurizipigie nyeto
Chupi ilovaliwa inachanganya zaidi kuliko za dukani mpya.Siku ukiingia duka la chupi za wanawake itakuaje?
[emoji23][emoji23][emoji23] haya bwanaZile hazinaga mzuka kama ambazo zishawahi kuvaliwa.....
Ndo maana niliketa thread ya kugegeda mademu ndotoni ili iwasaidie watu kama nyinyi @mods wameipeleka kusikojulikana!Habari wana MMU.
Mimi nimepanga nyumba moja, zamani tuliokuwa tunaishi wote wanaume, sahivi karibuni kahamia mdada hapa yaani anaanika chupi zake nje. Kwa siku anabadili mara mbili dah yaani mie napotoka nje navyoona zile chupi kwenye kamba ki ukweli nateseka kweli kweli yaani nawaza kumgegeda tu na mie navyoishi mbali na mke yaani nateseka muda mwingine hata usiku silali nawaza kumgegeda. Jamani wadada msiwe mnaanika chupi zenu nje mnatutesa wengine. Muhanga namba moja ni mimi. Nikionaga chupi tu ya mwanamke hili lifanyio langu linapata shida kweli kweli.
Ni kitu tofauti kabisa.Siku ukiingia duka la chupi za wanawake itakuaje?
Ha haaa hayaaaNi kitu tofauti kabisa.
Hapa issue kubwa siyo chupi, bali ni mvaaji wa hizo qupi. Jamaa anapata imagination zikiwa mwilini mwa mvaaji.