Mpanda vs Singida wapi pazuri kuishi na kutoboa haraka kimaisha?

Mpanda vs Singida wapi pazuri kuishi na kutoboa haraka kimaisha?

Ingawa sijawahi kufika Mpanda nadhani Singida ndiyo pazuri.
 
Mwambie aende mpanda kama anataka kuwa future tycoon, miaka mitano Mpanda ukiamua kujitoa na kupiga miguu yote unakuja mjini ukiwa Tycoon halafu wanaanza kukuita mwizi, muuza unga nk.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
 
Kuna jamaa yangu kapata kazi kwenye private coy flani,kaambiwa achague kati ya Singida au Mpanda wapi anataka awe reallocated. Binafsi nimeishi singida ila mpanda sipajui coz sijawahi kufika.

Ungekua wewe ungemshauri huyu jamaa aende wapi kati ya Singida na Mpanda?
Hongera sana mkuu kwa kupata kazi.

Kama bado unajitafuta na kutaka kutoboa nenda Katavi huko utalima na kufuga.


Ila kama unataka pisi kali na usafiri wa haraka baki Singida
 
Back
Top Bottom