Mpanda: Tundu Lissu ayalipua Maridhiano, Kingai, Byakanwa na Wambura Watajwa

Huyo Lissu mpuuzi. Angeanza na Samia ambaye kashika nafasi ya juu kabisa. Asiwasumbue hao dagaa wakati anapishana na papa. Pengine hao anaowasema ndio wamemshauri papa mkuu afanye maridhiano.

Ina maana Lissu amesahau kauli ya mama Samia aliposema waliompiga sio askari wetu, askari wetu hawakosei.

Chadema mnaropoka mno. Mara Byakanwa.
Unaongelea nini mkuu mbona kama hauna akili timamu, au umelewa
 
Hapana mkuu! Ukilipa kisasi haimpi mtu kujitofautisha na wao
Muache lisu aendelee na misimo yake wewe endelea na misimamo yake. Kama nakumbuka vizuri uliandika gazeti hapa kwamba watu wasiwalazimishe watu wote kumuina lisu shujaa. Sasa unahamanika nn hata asiposamehe?
Tunaomuunga mkono lisu tunafanya hivyo kwakuwa tunajua misimamo yake kwa taifa letu. Hajawahi kuyumbishwa na mpuuzi yeyote. Tulimfahamu LISU tangu mnayemuita shujaa akishangilia huku madini yetu yakiuzwa na kina mkapa naye akiwa naibu na baadae waziri? Ulishawahi msikia Magufuli akipinnga bungeni.
Soma kwanza kitabu cha wahariri
 
Mwambie akalipize ikiwa yeye anaona atakuwa salama tuu! Kulipiza hakujawahi kuwa Amani mkuu
 
Mwambie akalipize ikiwa yeye anaona atakuwa salama tuu! Kulipiza hakujawahi kuwa Amani mkuu
Wewe acha kupangia watu vya kufanya. Mbona hujawahi kulaumu hata wale waliokataza asiombewe wala kuchangiwa damu akiwa mahututi? Kunya anye kuku akinya bata kaharisha?
 
Back
Top Bottom