Mpambe wa Rais Magufuli abadilishwe

Mpambe wa Rais Magufuli abadilishwe

Kama Angekuwa Hausili Na Maswala Ya Ulinzi Jibu Haya Maswali.
1. Kwanini ADC Lazima Awe Askari Na Si Raia?!.

2. Kwanini ADC Awe Askari Mwenye Mafunzo Maalumu Na Si Askari Yeyote?!.

3. Kwanini ADC Lazima Atoke JWTZ Na Si Jeshi Lingine Tz?!.

4. Kwanini Ni Lazima Awe Gazetted Officer Na Si Rank&File?!.

Stricker Na Deffender Wanacheza Uwanja Mmoja Lakn Position Tofauti. Licha Ya Kwamba Deffender Kapewa Kazi Ya Ulinzi Na Stricker Kapewa Kazi Ya Kufunga Lakn Bila Kujali Position Zao Uwanjani, Kila Mchezaji Kwa Position Yake Anajukumu La Kulinda Lango Lake/Kufunga Goli Pale Inapobidi Bila Kujali Position Alopangwa Na Kocha.

Nafikiri Umanielewa.
Nakukumbusha. Jukumu La Ulinzi Hata Yeye Analo Kwa Nafasi Yake Akishirikiana Na Walinzi Wengine.
Aiseee ngoja nikuitie lost id
 
Ukiangalia baadhi ya misafara ya Jmp huyo jamaa huwezi jua yuko position gani..ila wanao onekana ni usalama wa taifa wakiwa katika nguo za kawaida mfano yule mdada mwenye rasta wakiwa wametengeneza kama cycle fulani hivi, na baadhi ya askari jeshi ndani ya uniform....hivyo ulinzi wa Jmp ni siri ya intelegencia yenyewe sie tuangalie tu
 
naomba kujua nguo za usalama wa Taifa zikoje.?
 
yaan umenifanya nikaangua kicheko kwenye mabasi ya mwendo kasi
 
Most of the time huvalia nguo nyeusi na hii imekuwa nikwa dunia nzima....
 
naona mleta mada unaleta siasa kwenye mambo yasiyojua siasa,we baki kuangalia tu,sio lazima ujue kila kitu,kukaa kimya sometime ni busara pia,
 
Dah haya ni matusi ,huyo jamaa Magufuli yuko physical fit kuliko yeye ? ,kwani mpaka anafikia level ya kuwa ADC vigezo alivyo pitia ni kuvunja biskuti kwa kuloweka kwenye chai ??
Mkuu inawezekana mleta mada amedata na zile push up za kipindi cha kampeni
 
Dah haya ni matusi ,huyo jamaa Magufuli yuko physical fit kuliko yeye ? ,kwani mpaka anafikia level ya kuwa ADC vigezo alivyo pitia ni kuvunja biskuti kwa kuloweka kwenye chai ??
Kirefu cha ADC mkuu???
 
Ni hivi, Rais anapowasili nchi nyingine mpande wake anakuwa ni msaidizi kwa mafaili yake. Kuna kuwa na mpambe mwenyeji ambaye ndio anachukua jukumu kubwa wakati wa kumpokea na kwenye dhifa mbalimbali. Mfano angalia wakati rais Magufuli anakagua gwaride mpambe wake anakuwa mwenyeji na huyu anakuwa pembeni mbali. Mfano mwingine angalia wakati rais wa Vietnam alipokuja alipewa mpambe wake. Hivyo hiyo picha isikusumbue, suala la kumshikilia mwavuli rais lilikuwa la huyo mwenyeji. Nafikiri umenielewe kidogo.
Umetoa Elimu vizuri nadhani kakusoma
 
Hawezi kukuelewa kirahisi kwa vile anazungumza kwa kujiaminisha kuwa mjuaji kwa mambo ambayo yapo nje ya upeo wake...angekuwa mjanja angeuliza tu inakuwaje Rais anapokuwa nje ya nchi yake anapewa mpambe wa nchi hiyo!

Kwa ufupi masuala yote ya ulinzi na usalama wa Marais wanapotembelea nchi nyingine huwa chini ya walinzi wa nchi mwenyeji....isipokuwa nchi ya kibabe kama Marekani, ambao majukumu hayo wanajitwisha wenyewe na wana kamsemo kao kuwa popote linapotua dege (AIRFORCE ONE)linalombeba Rais wao ni America ...(where ever Airforce One lands is America!).
 
Kuna uzi moja ulianzishwa kipindi cha nyuma ukimuongelea huyu mpambe. Nilimtetea kwa kiasi kikubwa kwa kuzingatia kwamba Rais Magufuli ni Rais ambaye yupo tofauti kabisa na marais waliomtangulia. Yeye hana utulivu, lolote wakati wowote anapoana anapenda kulifanya anafanya. Mfano, amewaona wanakwaya, huyoo anaenda kuimba nao, mfano amewaona wapiga ngoma, huyoo anaenda kupiga ngoma.

Huyu mpambe wake kwa muda wote ambao amekuwa na Rais ameshidwa kuendana naye, ana uzubaifu kwa kiasi fulani, au pengine Rais yupo phisical fit zaidi yake yeye. Pengine anachoka na speed ya Rais ya kazi kazi. Dom-Arusha-eco bank- uganda.

Mfano wa picha hii, huyu mlinzi wa uganda amechukua position yake ambayo kimsingi kama ana jambo baya lolote, hapo ni shida.

View attachment 346675

=====================

Kuna siku tu itafika na kukubali kuwa GENTAMYCINE ni Nabii na taa inayoangaza kule ambazo zingine haziwezi kufika. Mkuu NILITUKANWA na KUDHIHAKIWA mno juu ya huyo ADC ( Mpambe ) wa Rais na bahati nzuri mno nilianzisha ule UZI nikiwa najua nilichokuwa nikikisema KITAALUMA kwa hiyo nafasi ila kwa kuwa Watu humu HUNICHUKULIA poa wakanipuuza. Nashukuru kwa Wewe mwenyewe kukiri kuwa ulikuwa wa kwanza kumtetea kipindi kile katika ule UZI niliouanzisha na hatimaye leo umeungana na Mimi juu ya kile nilichokisema. Ni muda lakini kuna siku members Wote humu mtakuwa GENTAMYCINE disciples! Wengine tuna KARAMA za KIPEKEE na za KIMAONO kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Dah haya ni matusi ,huyo jamaa Magufuli yuko physical fit kuliko yeye ? ,kwani mpaka anafikia level ya kuwa ADC vigezo alivyo pitia ni kuvunja biskuti kwa kuloweka kwenye chai ??

Professionally Hamna ADC hapo Mkuu NIAMINI Mimi.
 
Kwa Uganda usiwe na wasiwasi labda ingekuwa Rwanda ndiyo ningeshituka kidogo, museveni hawezi kuwasaliti JWTZ wakati alishirikiana nao kumtoa nduli idd amin kagera na hatimaye kumtoa Uganda ndiyo maana hata huyo JW amerelax kwa sababu anaona yupo nyumbani

Moja ya PRINCIPLE KUU ya INTELLIGENCE na VIP PROTECTION huruhusiwi hata KUWAAMINI WAZAZI wako waliokuzaa kwa lolote na chochote na ikiwezekana kama utaona na Wao ni sehemu ya KUHATARISHA AMANI ya Nchi unaruhusiwa KUWADEDISHA vile vile achilia mbali Ndugu au Rafiki yako. Hivyo sijaelewa Wewe hiyo kauli kuwa hata Mpambe wa JPM hapo ame relux kwakuwa anajiona yupo nyumbani umeitoa katika Chuo gani kwani PRINCIPLES hizi zote ni UNIVERSAL japo sometimes hubadilika slightly kutokana na mazingira husika ya wakati huo. Naomba niishie hapa tafadhali!
 
Back
Top Bottom