Mpambanaji Tindu Lissu mbona kimya sana?

Mpambanaji Tindu Lissu mbona kimya sana?

Kyachakiche

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2009
Posts
986
Reaction score
211
Ndugu wadau, huyu mwanaharakati amekuwa kimya sana kuelekea uchaguzi mkuu. Kuna taarifa zozote juu ya ukimya huu au anavuta pumzi kwa ajili ya kampeni ili waunganishe nguvu na Marando?
 
subiri muda ufike, utasikia mengi hao ndo makamanda! wanapigana chini chini wanalikoki kwanza.
 
Nadhani anajiandaa kugombea ubunge jimbo la Singida Kusini.
 
kimya kingi kina mshindo mkuu. subiri
 
Back
Top Bottom