Mpaka wa Tanganyika na Zanzibar Upo Wapi?

Mpaka wa Tanganyika na Zanzibar Upo Wapi?

Hili jambo ni muhimu sana kwa sasa, ni bora tukajua mapema ili tusihangaishane huko baadaye.

Siku muungano ukivunjika tu kila nchi inachukua chake faster.
 
Kwani wakati wa muungano mwaka 1964, pwani ilikuwa zanzibar?

Mkuu pwani haikuwa Zanzibar tayari ilisharudishwa. Jamaa wa MRC wanaleta chokochoko ya kutaka pwani ijitenge na UAMSHO nao naona wanataka Zanzibar ijitenge. Wakishajitenga watadai Mipaka ya zamani. MRC and UAMSHO have something in common and they are eyeing for separation and reclaim the 10km along costal line. This is ridiculous in all means but they think we are not thinkers.
 
Kusema kweli it may sound odd lkn kama mikoa inapimwa ni bora kigezo hichohicho kikatumika znz. Inawezekana kabisa muungano hautenganishiki hasa kutokana na swali hili. If that is the case basi tujipange Znz iwe mikoa ya nchi moja else huu muungano lzm ubaki kama ulivyo ila tujitahidi kumaliza kero za muungano.

Hakuna kero za Muungano, Muungano wenyewe ndio kero
 
Uko mbele ya Zanzibar kwenyewe.
Eneo lote la Zanzibar liko ndani ya mpaka upande wa Bara,
Wao eneo lao ni baada ya Zanzibar kule majini kuendelea mbele/mbali
 
Uko mbele ya Zanzibar kwenyewe.
Eneo lote la Zanzibar liko ndani ya mpaka upande wa Bara,
Wao eneo lao ni baada ya Zanzibar kule majini kuendelea mbele/mbali

uwii,hadi raha,ngoja watoke shinyanga waje.
 
Uko mbele ya Zanzibar kwenyewe.
Eneo lote la Zanzibar liko ndani ya mpaka upande wa Bara,
Wao eneo lao ni baada ya Zanzibar kule majini kuendelea mbele/mbali
Mzee mmoja ameniambia Zanzibar ipo ndani ya Tanganyika, Imepakana na Tanganika pande zote
 
Kwani wakati wa uhuru wa Tanganyika mwaka 1961, Pwani ilikuwa Zanzibar
Baada ya nchi zote; Tanganyika na Zanzibar kuwa chini ya Uingereza hiyo mipaka haikuwepo tena na Zanzibar haikuwa huru tena ndio maana Sultan akirudi kutawala Zanzibar huenda akadai mipaka ya enzi za Germany EA na Sultan.
 
[video]http://maps.google.co.tz/maps?hl=en&cp=4&gs_id=b&xhr=t& bav=on.2,or.r_gc.r_pw.&biw=160 0&bih=610&wrapid=tljp1344707 88 794606&q=tanzania&um=1&ie=UTF-8&hq=&hnear=0x184b51314869a1 11 :0x885a17314bc1c430,Tanzania&g l=tz&sa=X&ei=PZ0mUPDEAorZ4QTYk 4GwDQ&sqi=2&ved=0CBEQ8gEwAg[/video]
 
Itabidi tanganyika pia tuidai Rwanda na Burundi kwa sababu wakati wa mjerumani tulikuwa nchi moja ikiitwa German East Africa.

Huu ni wakati wa mataifa ya kiafrika kudai mipaka ya wakoloni iliyochora Berlin, wa Malawi, MRC na Uamsho wametuamsha, sasa watanganyika hamna kulala tena hadi kieleweke!!!!

Kwa zanzibar mpaka ni maji, yaani maji yote yanayoizunguka zanzibar ni mali ya tanganyika wao chao ni ardhi tu, na wakitaka kuvua au kuyatumia maji kwa namna yoyote ile lazima wabebe passport!!
 
Muungano Utadumu Maana Zanzibar ni Koloni letu na hatuko tayari kukabidhi Koloni Letu kwa Sultan
 
Kimbunga,

..Heligoland treaty ilitoa maelekezo kwa Waingereza kwamba wa-facilitate zoezi la kuhakikisha Sultani anaachia maili 10 za ukanda wa pwani ya Tanganyika pamoja na visiwa vya Mafia. Tafadhali rejea makala ya Heligoland treaty iliyoletwa hapa kule kwenye thread inayohusu ziwa nyasa.

..baada ya hapo Sultan wa Zanzibar anayeitwa Said Bin Khalifa aliuza ukanda wa pwani wa Tanganyika kwa Wajerumani. Ukifuatilia historia ya Wajerumani hapa Tanganyika utasikia vita vya Abushiri wa Tanga. Hivyo vilikuwa vita vya kuwapinga Wajerumani waliokuwa wakisimika utawala wao maeneo ya pwani baada ya kuyanunua toka kwa Sultani.

..kwa upande mwingine, ni lazima uelewe status ya Sultani wa Zanzibar, hasa baada ya ujio wa Waingereza. Kwa kifupi ni kwamba Sultani alikuwa chini ya Waingereza. Zanzibar ilikuwa protectorate/"koloni" la Muingereza, ndiyo maana hata wakawa na "uhuru bandia" wa mwaka 1963. Ilifika wakati Waingereza wakampindua Sultani mmoja na kumuweka yule waliyemtaka wao.

..Kwa maoni yangu, Zanzibar/Sultani hawana haki na ukanda wa pwani wa Tanganyika kwasababu Sultani wa Zanzibar aliuza eneo hilo kwa Wajerumani.
 
Back
Top Bottom