..Heligoland treaty ilitoa maelekezo kwa Waingereza kwamba wa-facilitate zoezi la kuhakikisha Sultani anaachia maili 10 za ukanda wa pwani ya Tanganyika pamoja na visiwa vya Mafia. Tafadhali rejea makala ya Heligoland treaty iliyoletwa hapa kule kwenye thread inayohusu ziwa nyasa.
..baada ya hapo Sultan wa Zanzibar anayeitwa Said Bin Khalifa aliuza ukanda wa pwani wa Tanganyika kwa Wajerumani. Ukifuatilia historia ya Wajerumani hapa Tanganyika utasikia vita vya Abushiri wa Tanga. Hivyo vilikuwa vita vya kuwapinga Wajerumani waliokuwa wakisimika utawala wao maeneo ya pwani baada ya kuyanunua toka kwa Sultani.
..kwa upande mwingine, ni lazima uelewe status ya Sultani wa Zanzibar, hasa baada ya ujio wa Waingereza. Kwa kifupi ni kwamba Sultani alikuwa chini ya Waingereza. Zanzibar ilikuwa protectorate/"koloni" la Muingereza, ndiyo maana hata wakawa na "uhuru bandia" wa mwaka 1963. Ilifika wakati Waingereza wakampindua Sultani mmoja na kumuweka yule waliyemtaka wao.
..Kwa maoni yangu, Zanzibar/Sultani hawana haki na ukanda wa pwani wa Tanganyika kwasababu Sultani wa Zanzibar aliuza eneo hilo kwa Wajerumani.
I wonder why i don't want to believe that in a place where great thinkers can talk openly kuna watu kama hawa. Kweli jamii forum imevamiwa. Watu wanadiscuss mambo muhimu wengine wanaleta upuuzi.
Kwa mujibu wa mkataba kati ya Germany East Africa (Tanganyika enzi hizo) na Sultan wa Zanzibar, Sultan alipewa kutawala hadi maili 10 ya pwani ya Tanganyika.
Pia Sultani alipewa kutawala hadi Mombasa na Waingereza.
Kwa kuwa Sultani anarudi kutawala, maili 10 ndani ya Dar, Tanga, na Bagamoyo itakuwa sehemu ya Zanzibar, pia Mombasa nayo.
Kwa maelezo haya, lililobaki ni kutangaza serikali moja tu. Ingekuwa rahisi kama ulivyoeleza.
Muungano bana umeficha siri kubwa sana na ndio sababu kila wazenj wanapodai kugawana fito na watanganyika. Watanganyika tunakuja na masimulizi ya sultani kurudi, watu(wapemba) laki 3.5 watarudi vipi sehemu ndogo, kisiwa chenyewe kinazama, watakufa njaa, wanatunyonya, watauana wenyewe kwa wenyewe, Znz haiwezi kuishi nje ya muungano.
CCM wanaijua vyema siri hii na ndio sababu walikuja na sera ya kutoka serikali mbili kuelekea serikali moja.
Usanii utafika kikomo siku moja na ukweli utajulikana. Uzuri ni kuwa kuna katiba mpya inakuja na kuipitisha katiba mpya kwa kupigiwa kura na wananchi si kazi ndogo. Kama itafanyika hivyo(kupeleka rasimu ya katiba mpya kupigiwa kura) bila kutatua kero za muungano basi tutarajie CCM wameshajishindia uchaguzi mkuu wa 2015. Katiba mpya haitakuwa tayari.
CCM wanajua mpaka ulipo baina ya Tanganyika na Zanzibar. Kwani nchi moja huwa ina mipaka ya ndani? Tanzania ni nchi moja? Au ni muungano wa nchi mbili?
Wadau tusisumbuke kutaka kujua mipaka. Tanzania ni moja ila kuna Tz bara na Tz visiwani.
Visiwa huwa vimezungukwa na maji, bara huwa l/ imezungukwa na ardhi.
Ngoja nitafute ramani ya 1886. 1961 na Januari1964 na ile ya Oktoba1964. Ukipata ramani hizi basi umelipata jibu unalolitafuta.
Muungano wa mazingaombwe na viini macho.
Mpaka tunaanza kujadili mipaka kati ya Tanganyika na Zanzibar ni wazi kuwa maruerue ya ulevi yanaanza kututoka na fahamu zinaanza kurudi.
Lakini jibu sahihi liko kwa JWTZ wao ndio wanaolinda mipaka yetu na pia Membe anaijua mipaka yetu. Wengine wanaojua mipaka ni ile kamati iliyo UN inayoomba eneo zaidi la bahari. Wao wana michoro/ramani tayari. Mamlaka zinazotoa leseni za vitalu vya kutafuta gesi na mafuta na migodi pia wanazo ramani za mipaka yetu.
WACHENI KUONEA WATU WANYONGE HAWATAKI MUUNGANO KWANI LAZIMA? SI KUNA VISIWA VINGI TU DUNIANI VIKO NA MIPAKA NA MAINLAND LAKINI VIKO HURU............ WHY NOT ZANZIBAR?
SAO TOME & PRINCIPE
São Tomé and Príncipe, officially the Democratic Republic of São Tomé and Príncipe, is a Portuguese-speaking island nation in the Gulf of Guinea, off the western equatorial coast of Central Africa. It consists of two archipelagos around the two main islands: São Tomé and Príncipe, located about 140 kilometres (87 mi) apart and about 250 and 225 kilometres (155 and 140 mi), respectively, off the northwestern coast of Gabon. Both islands are part of an extinct volcanicmountain range. São Tomé, the sizable southern island, is situated just north of the equator. It was named in honour of Saint Thomas by Portuguese explorers who arrived at the island on his feast day.
With a population of 163,000 (2010), São Tomé and Príncipe is the second-smallest African country (Seychelles being the smallest). It is the smallest country in the world in terms of population that is not a former British overseas territory, a former United States trusteeship, or one of the European microstates.[SUP][citation needed][/SUP] It is also the smallest Portuguese-speaking country.
Cape Verde
From Wikipedia, the free encyclopedia
Cape Verde[SUP]i[/SUP]/ˌkeɪpˈvɜrd/ (Portuguese: Cabo Verde, pronounced: [ˈkabu ˈveɾdɨ]), officially the Republic of Cape Verde, is an island country, spanning an archipelago of 10 islands located in the central Atlantic Ocean, 570 kilometres off the coast of Western Africa. The islands, covering a combined area of slightly over 4,000 square kilometres (1,500 sq mi), are of volcanic origin and while three of them (Sal, Boa Vista and Maio) are fairly flat, sandy and dry, the remaining ones are generally rockier and have more vegetation. However, because of infrequent rainfall, the islands are not particularly green.
The Cape Verde archipelago is located in the Atlantic Ocean, approximately 570 kilometres (350 mi) off the coast of West Africa, near Mauritania and Senegal, and is part of the Macaronesiaecoregion. It lies between latitudes 14° and 18°N, and longitudes 22° and 26°W.
The country is a horseshoe-shaped cluster of ten islands (nine inhabited) and eight islets,[SUP][10][/SUP] that constitute an area of 4033 km².[SUP][10][/SUP]
The name of the country stems from the nearby Cap Vert, on the Senegalese coast,[SUP][5][/SUP] which in its turn was originally named "Cabo Verde" when it was sighted by Portuguese explorers in 1444, a few years before the islands were discovered (verde is Portuguese for "green").
The previously uninhabited islands were discovered and colonized by the Portuguese in the 15th Century, and became important in the Atlantic slave trade for their location. The islands' prosperity often attracted privateers and pirates, including Sir Francis Drake, a corsair (privateer) under the authority of the British crown, who twice sacked the (then) capital Ribeira Grande, in the 1580s. The islands were also visited by Charles Darwin's expedition in 1832. The decline in the slave trade in the 19th century resulted in an economic crisis for the islands. With few natural resources, and without strong sustainable investment from the Portuguese, the citizens grew increasingly discontent with the colonial masters, who nevertheless refused to provide the local authorities with more autonomy. This discontent festered and culminated in 1975, when a movement originally led by Amílcar Cabral (who was assassinated on 20 January 1973) then passed onto his half-brother Luís Cabral, achieved independence for the archipelago.
The country has an estimated population (most of creole ethnicity) of about 500,000, with its capital city Praia accounting for a quarter of its citizens. Nearly 38% of the population lives in rural areas according to the 2010 Cape Verdean census; about 20% lives below the poverty threshold,[SUP][6][/SUP] and the literacy rate is around 85%. Politically, the country is a very stable democracy, with notable economic growth and improvements of living conditions despite its lack of natural resources, and has garnered international recognition by other countries and international organizations, which often provide development aid. Since 2007, Cape Verde has been classified as a developing nation.
Tough economic times during the last decades of its colonization and the first years of Cape Verde's independence led many to migrate to Europe, the Americas and other African countries. This migration was so significant that the number of Cape Verdeans and their descendants living abroad currently exceeds the population of Cape Verde itself. Historically, the influx of remittances from these immigrant communities to their families has provided a substantial contribution to help strengthen the country's economy. Currently, the Cape Verdean economy is mostly service-oriented with a growing focus on tourism and foreign investment, which benefits from the islands' warm climate throughout the year, diverse landscape, welcoming people[SUP][citation needed][/SUP] and cultural wealth, especially in music..................
2015 M4C AKA CDM TUKIINGIA IKULU TU PALE MAGOGONI MUUNGANO UTAKUWA MWISHO CHUMBE KILA NCHI ITAKUWA KIVYAKE
Anayewaonea Znz ni CCM na wanaoendesha serikali ya Muungano.
Mimi kama Nonda sioni ubaya wowote wa kuwaachia wazanzibari wapumue.
Mara nyingi, naonesha mapungufu katika Muungano wa mazingaombwe kiasi ambacho nami nimeingizwa katika kundi la "UAMSHO"
Nimetoa mifano ya China One country two systems, Muungano wa Malaysia na Singapore na neema waliyoipata baada ya kuvunja Muungano wao.
Pia natetea sana kuwa kero za Muungano zitatuliwe ili kelele zipungue na kila upande uone unanufaika na sio kujisikia/ kujihisi unakamuliwa/ unabinywa. Kama hili haliwezekani wa"let Znz go!"
Lakini CCM hawataki kwenda na maji peke yao,wanataka wapate na wahanga wengine.
Hata Nyerere alishasema ni vyema Afrika Mashariki itakapofufuliwa na kuazimia kuunda shirikisho la Afrika Mashariki ni rahisi zaidi kuwa na serikali mbili, ya Tanganyika na ya Zanzibar kuliko kuwa na serikali mbili ya Muungano na ya Zanzibar.
Lililobakia endeleeni kupaza sauti zenu zisikike na pia tayari tupo watanganyika tumeanza kukuungeni mkono.
Lakini Seif Idi anasema wasiotaka serikali mbili, sera ya CCM warudishe kadi, fanyeni juhudi huyu na Ali Ameir wapate kuamka(UAMSHO).
Kimbunga,
Unafahamu lolote kuhusu wareno kutawala Mombasa hadi kujenga Ngome yao iliyoitwa Fort Jesus, Kisha wakatawala na Pemba na Baadae Zanzibar. Inasemekana Wareno ndio walioviunganisha visiwa vya Pemba na Zanzibar. Na hata neno Pemba ni eneo/kabila lililopo Msumbiji wakapewa wenyeji wa kisiwa hicho kinachoitwa sasa Pemba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.