Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
- Thread starter
- #61
Ni kama una suggest ndoa ya smile ndo iliyovunjika leo...
No no no! Don't quote me wrongly!
Smile na akina lara 1 ni watu walioibukia wakati mmoja - enzi hizo, na kuipa kabisa MMU mwelekeo tofauti, baadaye Evelyn Salt naye akafuatia na wengine, ndio maana unaona hadi leo momentum ya hili jukwaa ina kasi ya ajabu, sijamalizia tu nilichotaka kuandika.
Last edited by a moderator: