Mbn hanaga shida ya kuonana na watu,sio ishu vyovyote alivyo bana anabaki kuwa Lara 1 .
DOT!
Hivi mtu unapata wapi ujasiri wa kuvutiwa na mtu usie mjua ata sura. Badala ya kuvutiwa na point au mawazo yake.
unaujua ule wimbo...I knew i loved you before i met you?
Nikiliwa utajua tu, utaniona nitakavokuwa kama nimenyeshewa
Kwani nani kasema ana shida?
Hii ni zaidi ya thread,kazi ipo!
Najua ndoa nane za JF ambazo hadi kufikia sasa zote zimekufa. Nilishahudhuria arusi za ndoa 2 kwa sababu wahusika walikuwa kwenye circle ya marafiki zangu,
Enhenhenhenhe haya bwana ila mna hasira naaaaaeeeee ,muacheni bwana !
Mkuu kuna hivi ndoa zinafungwa mahusiano tokea MMU?
i wil prove u wrong.