Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,108
- 72,556
Hapa ni kula na kuliwa tu kwisha habari....
Ndo maana umekomaa kama Lupitaa
Hapa ni kula na kuliwa tu kwisha habari....
Hapa ni kula na kuliwa tu kwisha habari....
oooh! majanga!!. i love my Arovera
Humu huwa wanagongana kweli au kinguonguo?
Hapa ni kula na kuliwa tu kwisha habari....
Eeeh mbona ya kwangu inadumu na namuheshim mume wangu nae ananiheshimu pia... Usikariri sio kila couple zilizokuwemo humu zina matatizo hayo ni yao binafsi ambayo hata wangukutana kanisani yangewatokea
Hapa ni kula na kuliwa tu kwisha habari....
Hapa ni kula na kuliwa tu kwisha habari....
Kwa hyo mumeo mmekutana hum?
Hiyo ndo habari ya mujini
Mimi na Matola tutadumu nawaambia! Hatujakurupuka! Bado hoja naikokotoahumu maana nzito mnomnomno
Nishamaliza ukokotozi! Mapenzi ni kama vita, in the sense that wahusika mnakuwa mmeamua to go against all odds, to give it your whole, kutokubali other options Matola aligoma kabisaa kuwa Zombi langu! LOL!) na kujitolea dhabiti iwalo na iwe lakini lazima hali ibadilike! NDO MAANA VITANI WATU WANAKUFA DAILY, NA WANAOBAKI WANAAMKIA UWANJA WA MAPAMBANO! And the circlw goes on! Utajiuloza WHY? Nakipa jibu BECAUSE THEY BELIEVE WITH THEIR WHOLE SOUL THAT ITS WORTH THE RISK AND DAMAGE! Na mapenzi hivo hivo watu wanaachwa, wana vnjwa mioyo, wanapatwa na kdhia nyingi but they never stop loving, since love is a beautiful thing! Na kabla hujaachwa unafadi tusemage tu ukweli! Kama mimi navofaidi kwa baby wangu!
All in all mapenzi ni kitu cha ajabu sanaa, haijalishi mmekutana wapi, umri, sijui mafweza, sijui nini but the xonnection inakuwa tu automatic, mnabond, power of love inafanya kazi, na kama mnajielewa baada ya hapo mnafanya zile basics na kuimariaha penzi!
Oa mtu sio sababu umemkuta Jf au wapi, MARRY SOMEONE BECAUSE YOU LOVE THEM, AND YOU WANT TO SHARE THE REST OF YOUR LIFE WITH THEM.! Any life of yours without them will always feel incomplete!
Wanasemaga HEROS GO TO THE WAR BATTLE. CAPPITLISING ON TINIEST POSSIBILITY TO CHANGE THINGS KNOWING THEY MIGHT DIE AND THEY REALLY DIE WHILE THE COWARDS STAY HOME TO SHOW THEIR KIDS THE HEROS GRAVES WHILE LIVING A LONG BORING LIFE! Sasa mimi ni heroine im going to war, to satisfy my heart, live my life and enjoy my opportnitiea to the fullest! There might be regrets but it doesnt matter! I wont spend rest of my life wondering WHAT IF! You cowards can sit back ready to tell my story, and wonder what if!
I hve regretes so many things in my life anyway, what is a little ONE more regret and dissapointment? I am taking my chances to see what the future hold for me! I am challanging my fate to surpass my expectations!
In life there are those of you WHO RUN AWAY and there are those of us WHO STAY BACK AND FIGHT TO MAKE THINGS RIGHT!
Matola baby i love you! And i am proud of you!
Cc michepuko, Dancani, Khantwe maana mlikua mnaisubiri kwa hamu hii hoja!
sijawahi kupata demu humu jf,natamani ningempata
miss chagga
Jamii forum ni kama msitu mnene uliosheheni kila aina ya wanyama.
Hapa ndani wapo wazuri na mikurumbembe pia ipp tena ya kumwaga. Jifunze kuwatambua watu kupitia post na comment zao. Wapo wafanya biashara hapa hivyo hutumia jukwaa hili kutangaza biashara zao, lakini wapo wema wenye nia ya dhati kabisa. Chunguza taratibu, utangundua wapo ambao ni wife materials hapa ndani. Ukiingia kichwa kichwa mwanangu, imekula kwako.