Mpaka sasa sijashuhudia ndoa hata moja ya JF iliyodumu!

Mpaka sasa sijashuhudia ndoa hata moja ya JF iliyodumu!

Sidhani kwamba kuvunjika kwa ndoa hizo 8 ni kwasababu walikutana jf,bali ni hali halisi ya maisha ya sasa. Kumekuwa na wimbi la kuvunjika kwa mahusiano bila kujali wanandoa walikutana vipi na wapi. Kikubwa kwa wanaokutana hapa jf ni kuwa makini kama alivyosema Mashimba1.

Zote za Jf ninazozijua ya mwisho imevunjika leo, tena ilikuwa na mbwembwe nyingi kuliko zingine zote!
 
mimi sichangii hapa maana ninaushuhuda mzito sana..ila mademu wa kwenye huu mtandao mnasikitisha...ngoja nifunge mdomo(vidole)
 
Mie sijitambui sio? Carry on.

T sims so
Kwani lazima watu wajishaue au wajinasibu kudumu mpka Leo ili wakuimpress ww kwamba ndoa za jamii forum zinadumu?
Kwani the same kurumbembe ukimit nalo sehem nyingine sio Jf itafanya mahusiano yenu yadumu?
Use UA third eye mkuu huwez kugenerelize kisa hayo uliyoyaona
Just one quick question if u don't mind" wakina sisi tuliokutana Jf tukaanza kudate na bado tuna mahusiano tujiskiaje kutokana na kauli yako ni kwamba Mapenz yetu hayatadumu /tunapotezeana muda au ?"
 
Msisitizo wangu upo kwenye ndoa 8 ninazozijua, yako itadumu.
 
lara 1 siku mkija kumfahamu physically kama mimi mtaandamana. Hamtakuja kukubali kama ndio yeye anayejaza server za MMU!

Hahahah hyo ya nje ya jf tunakuachia mwenyewe ila mi nnachojua lara amebadilisha thread zake so amebadilika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom