kwamba shetani yupo ndani ya mwili wangu ananitumikisha niongee anachotaka? Basi kama ni hivyo na Mungu ana kesi ya kujibu kwanini amruhusu aingie nitakataa sio mm nilikuwa nikipost bali ni mtu anaetumia mwili wangu,Endelea kumpigia debe shetani ambaye hajui chochote kuhusu wewe anatumia Hila kukuhadaa tuuu
kwanza sina shibe nina maisha magumu hatari uliona wapi tajiri anamtusi Mungu adharan ni mm mr pipa na akili yangu timamuMungu anakuona,siku zako za kuishi duniani ni chache sana,lkn siku za kwenda kuishi na muumba wako ni nyingi zisizo na hesabu,sasa ni juu yako kumpigia debe shetani alafu ulaaniwe milele au utubu na kufanyika mwana wa Mungu uishi kwa raha milele yote.Uamuzi ni wako.Shibe isitupe kiburi hata kuwa chukizo kwa Mungu,hivi ungekuwa umepalalaizi kitandani ungepata wapi nguvu za kuandika huu utumbo mavi wako??.
Zaa mtoto umpe jina la shetaniNitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine
Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi,
Kwa fact hizi
Pale bustani ya edeni Mungu alimficha adamu na hawa jambo
Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri
Unaweza muomba mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea
Ndio hivyooo
Vita uletwa shetani lengo ni kuvuna damu za watu na kuzipeleka kuzimu.je Mungu ana huruma ? Vuta picha vita ya Ukraine bom linawalipukia watoto wasio na hatia lakini Mungu uwezo wa kusolve anao mbona anafanya kana kwamba haoni ila ukiiba au ukizin dhambi huiona
Mungu aliamuru taifa la Israel likapige vita taifa mojawapo la enzi zile matokeo yake watu walikufa wengi je nahio ni huruma
Shetani Huwa Yuko kimya, ila wafuasi wa Jehovah Kila siku mnamtukana sana. Ugomvi wake na Jehovah nyie unawahusu nini?Endelea kumpigia debe shetani ambaye hajui chochote kuhusu wewe anatumia Hila kukuhadaa tuuu
Zaa mtoto umpe jina la shetani ili tuwahakikishie watu kwamba hiki ni kiumbe kizuri,Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine
Kwangu naona kama huyu shetani ndio mkombozi,
Kwa fact hizi
Pale bustani ya edeni Mungu alimficha adamu na hawa jambo
Huyu bwana shetani alifanya kila njia akatutobolea siri
Unaweza muomba mungu kitu akachelewa sana kukupa ila ukienda kwa huyu bwana fast tu unapokea
Ndio hivyooo
Ha haaaa we mjaaa acha kunichekesha, nimeshacheka sana leo na hizi mada zenukwanza sina shibe nina maisha magumu hatari uliona wapi tajiri anamtusi Mungu adharan ni mm mr pipa na akili yangu timamu
Kama Mungu anakuacha ukazini na wake au waume za watu wakati anauwezo wa kustopisha liboroo lisifanye kazi na ukaokoka kwenye dhambi
Niseme tu tusipangiane
Wewe ndio umeruhusu shetani akutumie, Mungu ajibu kesi gani sasa amekupa uhuru na wewe umechagua kuwa upande wa shetani ndo maana unampigia debe hapakwamba shetani yupo ndani ya mwili wangu ananitumikisha niongee anachotaka? Basi kama ni hivyo na Mungu ana kesi ya kujibu kwanini amruhusu aingie nitakataa sio mm nilikuwa nikipost bali ni mtu anaetumia mwili wangu,
Aliyekuambia shetani yuko kimya ni nani? Hayo uliyoyaandika sio yako ni ya shetani kakuongoza uandike halafu unasema yuko kimya?? itakuwa Bado haumjui shetani na ufalme wake na anavyofanya, uwe unauliza kabla ya kuandika au kusema jambo Ili uwe uhakika wa unayosemaShetani Huwa Yuko kimya, ila wafuasi wa Jehovah Kila siku mnamtukana sana. Ugomvi wake na Jehovah nyie unawahusu nini?
By the way shetani na Jehovah ni dhana tu.
Mungu ndio kaumba kifo na akasema kila nafsi itaonja mauti sasa shetani anahusika vipiNi fasta kwa huyo mjamaa lakini hana huruma wala fadhila ni lzm akuue fasta pia, msaada wake hauendi bure.
Mungu uchelewa lakini ni hakika na hakuna majuto wala hasara
Wewe ungekuwa mungu, umgemuacha shetani ajimwaye mwae na utawala wake?Aliyekuambia shetani yuko kimya ni nani? Hayo uliyoyaandika sio yako ni ya shetani kakuongoza uandike halafu unasema yuko kimya?? itakuwa Bado haumjui shetani na ufalme wake na anavyofanya, uwe unauliza kabla ya kuandika au kusema jambo Ili uwe uhakika wa unayosema
[emoji23]Yep, mshikaji hacheleweshi kutoa mzigo, ukimlalamikia tu kupitia Qur'an kwa njia ya albadir lazima atakujibu tu😱
nampigiaje debe mtu nisiewahi muona,Wewe ndio umeruhusu shetani akutumie, Mungu ajibu kesi gani sasa amekupa uhuru na wewe umechagua kuwa upande wa shetani ndo maana unampigia debe hapa
Kifo alichokiumba Mwenyezi Mungu ni cha uzee baada ya mwili kuchakaa,umri wa kuishi si zaidi ya miaka 70 hadi 80 zaidi ya hapo ni neema,huo ndio umri uliopangwa na Mungu.Mungu ndio kaumba kifo na akasema kila nafsi itaonja mauti sasa shetani anahusika vipi
Kwahiyo wale watoto wanaokufa baada ya kuzaliwa huwa wamefanya nini na shetani?Kifo alichokiumba Mwenyezi Mungu ni cha uzee baada ya mwili kuchakaa,umri wa kuishi si zaidi ya miaka 70 hadi 80 zaidi ya hapo ni neema,huo ndio umri uliopangwa na Mungu.
Shetani ndie uwatumia watu mapepo ya hasira Ili wasifikie mwafaka wapigane wamwage damu.
Watoto wa shetani ndio upigana.Mungu ni upendo Hakuna vita,