Mpaka sasa sijaona mpinzania wa Prof. Muhongo

Upanga Mkali

Member
Dec 24, 2014
96
81
Nimesikiliza hotuba za watangaza nia wa CCM, mpaka sasa sijaona hotuba yenye maono na inayoonekana kutekelezeka kama ya Prof Muhongo ambaye alionyesha tatizo, ukubwa wake na kutoa njia za kutatua, January alitoa mlolongo wa ahadi lakini yote aliyosema yanatatuliwa kwa kukuza uchumi kama alivyosema Prof. Muhongo.

Go Prof..
 

kidesheni

Senior Member
Oct 30, 2012
178
35
Bila kupepesa macho, kama nchi tunaitaji rais mchapaka Kazi kwa kuanzia yeye mwenyewe uwezo wake bila kutegemea hotuba za kuandaliwa na kuzisoma kama zilivyo, Prof. Muhongo anatosha kuwa Raisi wetu kwa kipindi hiki akipewa nafasi.
 

jr etlawe

Member
Apr 19, 2015
55
34
kwa kweli watz hatufikir ata kidg muhongo kwa nn hajatumia hzo hoja kwny wizar leo anatka kuja kuzitumia kwa ajil ya tz hv we mleta hoja are you thinking or you are sinking na juz tuu jamaa alikuwa na kasha afu leo anakuwa rais ama kweli jk amerahisisha njia ya kuingia ikulu
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom