Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Why doesn't she care?I don't know. 🤔
 
Ukiachwa achika
 
Mkuu wanawake NI Kama mavi ya ngombe ukiyaona nje Kama yamekauka jichanganye sasa utie mguu
 
Kweli ile jamii mwanaume usipokuwa makini unatawaliwa
Lakini Mkuu, kwa hali ya namna hiyo si utakuwa unatumia nguvu kubwa sana ili kumtuliza? Vurugu kila wiki?!

Au umeamua kuwa poa kwamba hakuna namna ngoja niishi naye vivyo hivyo?
 
Kama anakupotezea na wewe mpotezee, simple. K zipo nyingi mno .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…