Mpaka sasa binadamu hajajua alitokea wapi!

Chanzo cha uhai kiko wapi?
 
Huyo Mungu hatoshi.
Na yeye alikuwa created na nini?
Kila mwanzo una chanzo hata ukileta Quantum laws bado mwanzo, chanzo na effects zitakuwepo
 
Chanzo cha uhai kiko wapi?
Labda nikuulize kwanza kuna kitu unachoweza kusema kama utupu / nothingness ?

Baada ya hapo chukua chupa leo toa kila kitu kabisa iweke sehemu utashangaa kama conditions zitakuwa favourable baada ya muda unaweza ukakuta life forms be it mold au chochote kile; au panda mbegu leo baada ya muda kama condition ni favourable utakuta mmea umeota; au jiulize bacteria ambao hatukuwatambua kabla wametokea wapi ? au baadhi ya wanyama ambao waliokuwepo kabla sasa hivi hawapo au kutokana na extinction kama tembo watakuwepo miaka mia tano ijayo...

Jiulize tena kwanini wewe uliyepo hapo ingredients zako ni elements ambazo zipo kila mahali oxygen, carbon, hydrogen, nitrogen, calcium, and phosphorus n.k.

Baada ya hapo unaweza kuona kwamba uhai wako ni happenstances tu ambazo zilitokea kutokana na favorable conditions kama vile ambavyo kuna viumbe vilikuwa havipo sasa hivi vipo na vingine vimepotea..., Na kama ukitaka proof ni kweli kwamba wewe chanzo chako ni cell (yaani from unicellular to multicellular) tena hata tusipoenda miaka kadhaa nyuma bali katika formation ya Zygote yako (utungaji wa mimba)..; Kwahio mimi hili wala sio swali gumu kwangu wala mind boggling labda swali la the beginning au what was there before the beginning na sio the beginning of life...

Kuna known knowns, known unknowns na unknown unknowns; na what was the beginning or before the beginning is known unknown....; beginning of life is known known
 

Hakuna mtu atakijibu Haya yote isipokuwa Mungu mwenyewe ambayo umekiri yupo.
 
Of this you have seen sufficient. Now we will show you the past. To prepare you, I will tell you what you will experience, then you will not be frightened.” FRIGHTENED? I thought to myself; if he but knew I AM ABSOLUTELY TERRIFIED! “First,” resumed the Voice, “you will experience blackness and some spinning. Then you will see what you think is this room. Actually it will be as this room was millions of years ago by YOUR time, but which is not so long by ours. Then you will see how, first, your universe was created, and then, later, how your world was born, how it was stocked with creatures among them those we call Man.”

The hermit. Page 186
 

Binadamu aliumbwa na Mungu kama sehemu ya kazi ya uumbaji iliyotimia kwa mpangilio wa siku sita, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Mwanzo 1:26-27:

Kisha Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na dunia yote pia, na kila chombo chetu kitambaacho juu ya nchi.
Mungu akamwumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba; mwanamume na mwanamke aliwaumba.
(Mwanzo 1:26-27)

Binadamu aliumbwa lini?
Kulingana na Biblia, binadamu aliumbwa siku ya sita ya uumbaji (Mwanzo 1:31), baada ya Mungu kumaliza kuumba viumbe wengine wote, ikiwa ni pamoja na wanyama wa nchi.

Lengo la Mungu Kumuumba Binadamu

1. Kuwa na ushirika naye. Mungu aliumba binadamu kwa mfano wake ili aweze kuwa na uhusiano wa karibu naye (Mwanzo 3:8, Zaburi 8:4-6).

2. Kutawala dunia kwa niaba ya Mungu. Binadamu alipewa mamlaka juu ya viumbe vyote vya duniani (Mwanzo 1:28).

3. Kumtukuza Mungu. Binadamu aliumbwa kwa utukufu wa Mungu na kumtumikia Yeye (Isaya 43:7).

4. Kuzaa na kuijaza dunia. Mungu alimpa binadamu agizo la kuzaa na kuijaza dunia (Mwanzo 1:28).

Hivyo ndugu yangu wala usiumize kichwa, binadamu si kiumbe wa bahati mbaya bali ni kiumbe wa makusudi, aliyeumbwa kwa upendo, kwa mfano wa Mungu, na kwa ajili ya utukufu wa Mungu.

Chukulia mfano mwepesi kuna watu wanafuga mbwa nyumbani kwao wengine wanafuga farasi wengine wanafuga ngamia. Kwanini wanafuga hao wanyama?? Ukijibu hilo swali basi hata Mungu alianza hivyohivyo.
 
Mbona inajulikana wewe upo dunia gani? Sisi ni Energy tumefanyika binadamu ..na vitu vyote ni Energy
 
Mbona inajulikana wewe upo dunia gani? Sisi ni Energy tumefanyika binadamu ..na vitu vyote ni Energy
Hiyo energy ilitokana na nini (aliyeumba energy) na kabla ya uwepo wake kulikuwa na nini haswa?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hiyo energy ilitokana na nini (aliyeumba energy) na kabla ya uwepo wake kulikuwa na nini haswa?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Energy ipo milele aikuumbwa wala uwezi kuianganiza ipungue hata asilimia 1 %...kasome sifa za Energy kisayansi....
1)moja ya sifa ni kwamba you can't create all destroy Energy .
2)but Energy can transform from one form to another...(hivyo energy ilibadilika kuwa wanadamu yaani moja wapo ya transformation ni kuwa binadamu )
3)Energy is the capacity of doing work...(hapa ndiyo tunakuta maana ya yale maandiko kuwa ...👉vyote vilifanyika kwa yeye pasipo yeye hakuna chochote kinachoweza kufanyika) no Energy no work no nothing.
 
Inamaana energy iliibuka tu ghafla from nowhere wala haikuumbwa au kutengenezwa na kitu chochote?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Inamaana energy iliibuka tu ghafla from nowhere wala haikuumbwa au kutengenezwa na kitu chochote?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Even God is energy =hata mungu ni roho...maana yake pasipo energy(roho) hata mungu awezi kuwako ...hivyo energy ipo ambayo ipo aikuumbwa na yoyote hata mungu akuumba energy bali yeyepia ni energy.....ufahamu wa hiyo Energy yote kwa ujumla wake ndiyo Mungu ....hapa ndipo wanasayansi wanapo jaribu kuficha au kubisha kuwa Energy (ambayo ndiyo mather nature) inajitambua yani inaufahamu ...wao wanapinga huo ufahamu ila wanakubali kuna nguvu za mungu yani mother nature ila wanasema hizo nguvu za mother nature azina ufahamu wowote zimeumba vitu kwa kubahatisha tu....swali linakuja kama nguvu za mother nature (ambazo ndiyo energy) haziwezi kuwa na ufahamu mbona binadamu ambaye ni matokeo ya hizo nguvu ana ufahamu ? Kwa sababu kisayansi binadamu si chochote bali ni energy...sasa energy binadamu ina ufahamu huo ni ushahidi kuwa nguvu zilizo umba ambazo ni Energy zinajitambua .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…