Mpaka mimi nimtafute si nimeshaachwa hapo?

Mpaka mimi nimtafute si nimeshaachwa hapo?

Mi kuna mmoja nimemkaushie miezi 4 lakini haelewi. Nasubiri anipigie nimpe makavu live
 
​kusoma hujui, hata picha tu, ukiona manyoya.....................
 
Wanawake kwa kuhitaji company zisizo za msingi hamjambo angalia hadi watu hapa wameshakuonea huruma nahuku unaweza kukuta wewe ndio mwenye makosa ila watu bwana hata hujazungumza kilichotokea ndo mambo yakaanza wameshaanza kukupa pole.......hakuna pole kwa upande wangu lekebisha makosa na ujipange tu ukamuombe msamaha kwa kumsihi kama utakuwa kuna kitu umemkosea......!!
Acha kulia lia humu...

unachosema ni sahihi.! Ahsante.
 
unalalamika sana,njoo kwangu utulie,pm
 
mhhhhhhhh, pole sisemi kama tunafanana hivi, ila mwenzie nachukulia pouwa tu, napambana na maisha nikiamini Mungu yupo.
 
Tatizo huyu alinipa kirahisi sana alafu analazimisha ndoa. Ngoja nimchane alie na moyo wake

Kuna usalama lakini alivyokupa? Usimfanyie tena mtu mwingine usije ukatengeneza mtandao mbaya na majambazi ya kike...
 
Eti ni mpenzi wangu lakini mpaka nimtafute mimi na nikimpata majibu mafupi yes/no marefu,dah Mungu anisaidie nifute kumbukumbu zake zote hata nikimwona ubongo usitambue wala kushtuka.


Hii fursa murua kabisa kwangu. Hebu fanya fasta ukuje. Ila mmh taratibu kwanza ni pm jina lako isijekuwa yule ninayempiga kibuti!!
 
kila mwanaume atataka mzigo tu baada ya mwezi so jiandae kuacha wote utakaokutana nao mbele coz wote tuko sawa
 
Eti ni mpenzi wangu lakini mpaka nimtafute mimi na nikimpata majibu mafupi yes/no marefu,dah Mungu anisaidie nifute kumbukumbu zake zote hata nikimwona ubongo usitambue wala kushtuka.

pole, atakuwa amepata mwingine na wew kuwa kimya tu maana sisi wanaume tunatofautiana na wanawake kama mwanamke umtaki uwez mwambia ubabaki kimya tu wala umtafuti atajua mwenyew
 
aiseeee sijui inakuaga nini nashindwa kuelewa
 
Eti ni mpenzi wangu lakini mpaka nimtafute mimi na nikimpata majibu mafupi yes/no marefu,dah Mungu anisaidie nifute kumbukumbu zake zote hata nikimwona ubongo usitambue wala kushtuka.

Wahenga wanakwambia JIONGEZEEE......
 
Back
Top Bottom