innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 753
dah... labda jaribu kuwa unamtumia hela ataweza jirudi, mkono mtupu haulambwi
Ha ha ha ha ha na aulambwi kweli aiseee anatakiwa ajiongeze
dah... labda jaribu kuwa unamtumia hela ataweza jirudi, mkono mtupu haulambwi
nadhani hanipendi kweli. ila kwanini asiniambie tu ukweli umechuja mama SIKUTAKI...
hahahaaaa...sema wanaume wengine bwana...sasa hujui kama "action speaks louder than words?" angekwambia ungeweza kuhisi anatania. Akufukuzaye hakwambii toka. Sasa utoke. Anakuonaje kero sasa na hivyo vimesej vyako kaa gazeti? yeye ni YES/NO tu. Pole mama. Tulia ujipange upya.
Kusoma ujui hata picha piaa uoni
lol vimeseji ka gaazeti....wacha nicheke tu ka mazuri vile!!!hahahaaaa...sema wanaume wengine bwana...sasa hujui kama "action speaks louder than words?" angekwambia ungeweza kuhisi anatania. Akufukuzaye hakwambii toka. Sasa utoke. Anakuonaje kero sasa na hivyo vimesej vyako kaa gazeti? yeye ni YES/NO tu. Pole mama. Tulia ujipange upya.
Ubongo umeelewa ila moyo...namfagia fagia atoke kwenye ventricles...
aende zake tu kama ndio alichokuwa anataka.
no sikumpa
hata sh. kumi sijawahi omba jamani...wanaume bwana...angesema nimechuja tu nifanye yangu.
Pole sn mama,me naona
aibu mwanamke kuanza yy kunitafuta.Hivyo huwa nipo tayar hata nitume
tafadhari nipigie ili ajue nipo kwake daima.
NJO KWANGU NITAKUHESHIMU NA KUKUJALI DAIMA
Eti ni mpenzi wangu lakini mpaka nimtafute mimi na nikimpata majibu mafupi yes/no marefu,dah Mungu anisaidie nifute kumbukumbu zake zote hata nikimwona ubongo usitambue wala kushtuka.
hata sh. kumi sijawahi omba jamani...wanaume bwana...angesema nimechuja tu nifanye yangu.
no sikumpa